A Special message to single mothers

A Special message to single mothers

They need to be respected and loved, 'en i truly wish I cud marry dem all..! Live long single moms!
 
Huwa nawakubali sana single mothers,kwa jinsi ambavyo
waliona umuhimu wa maisha ya watoto wao wangali tumboni.
nawakubali kwa sababu si kwamba hawakujua vuijiwe vya kutoa
mimba ili waendelee kuitwa wadada warembo na kula maisha.
nawakubali kwa sababu pia walijua kufanya kosa si kosa
bali kosa zaidi ni kumuadhibu kiumbe dhaifu ambaye
hakukutuma kufanya kosa ilihali uonekane mwema.
Kwa sababu hizo na nyingine,nawakubali sana watu hawa
na huwa nawapa ushirikiano pale inapowezekana.
 
Heshima yako lusungo! Nakumbuka bandiko kuhusu maswala ya ng'ambo, mpk leo bado inatrend..live long chief!
 
Ingawa kuna singo maza wengi wameolewa lakini wakificha kwamba hawana watoto wala hawakuwahi kuzaa!hawa siwezi kuwalaum!kuna mdada fulani ana mtoto mkubwa tu na aliolewa na jamaa flani lakini akamtambulisha mtoto wake kuwa ni mdogo wake!maisha yanaendelea tu.vitoto vingine vimezaliwa vinaambiwa huyu ni anko wenu kumbe ni braza!maisha yanaenda.daahhh majanga jamaa aliempaga mimba akamkimbia si karudi anamtafuta mtoto wake.mtoto amekuwa mkubwa kajikaza kuficha siri lakini babaake anakuja kumtaka amchukue waende zao.
Hivi huyo ni baba au ni beberu?
kama wewe ni baba inakuwaje unaikimbia mimba yako?
Mimi ni mwanaume ili tuseme ukweli, kama
umeikimbia mimba yako ukamwacha mdada wa watu anateseka,
sioni tofauti yako na beberu ambalo linajua kutungisha
mimba ila halijui kuwa kuna kutunza mimba na watoto.
 
Hivi huyo ni baba au ni beberu?
kama wewe ni baba inakuwaje unaikimbia mimba yako?
Mimi ni mwanaume ili tuseme ukweli, kama
umeikimbia mimba yako ukamwacha mdada wa watu anateseka,
sioni tofauti yako na beberu ambalo linajua kutungisha
mimba ila halijui kuwa kuna kutunza mimba na watoto.
Point!
 
Haipendezi kwa mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja hata kama ilitokea mme wake wa kwanza alifariki au alimpa taraka n.k
Single mother ukitengana na mme wako kwa sababu yoyote tulia ulee wanao, put concentration to ur kids sio kuanza kuangaika na vi ben 10 visivyo penda kujishughulisha,
Nayeye ana moyo kama wengine. Anatamani mapenzi.
 
wanawake muwanafiki sana, wao kwa wao tu kwanza wanabaguana na wamebeba chuki nzito sana miyoni mwao.

utaona kwenye mada za kiadhara kama hizi jinsi wanavyoteteana huku wakilaani vikali wanaume wote wanaowapondea single mothers, lakini hao hao sisi kaka zao tukiwapelekea mawifi kuwatambulisha nyumbani na wakigundua kwamba huyo wifi mwenyewe tayari ni single mother basi wanabadilisha kabisa na mood na bila kupepesa macho wanatuambia tusioe kabisa single mother.

anyway binfsi sina tatizo na single mother ninaweza nikamuoa mradi tu ana kidhi vigezo muhimu. na kama kuna single mother yeyote mwenye watoto wa tatu anaehitaji bwana aje pm tuyajenge.
 
Back
Top Bottom