UchawiIla kumbambikia mwanaume mtoto asiye wake ni nini hasa?😉
Halafu sasa ukute makwao wapo,wamelelewa na single mother's, yaani tafraniJf pekee single mother anaonekana mtu wa ajabu sana sijui kwa nn
Huku tu na unakuta na wenyewe wamezaliwa na single mom,wanaume wa jf hujiona kama malaika kumbeJf pekee single mother anaonekana mtu wa ajabu sana sijui kwa nn
Ukiwasikiliza wanadam utachoka kabisa soon naongeza tenaTake five wala sina time acha waseme nikiamua nisiwe single hata Leo naweza ila once its done is done!!!!
Huku tu na unakuta na wenyewe wamezaliwa na single mom,wanaume wa jf hujiona kama malaika kumbe
Inasikitisha sana yaan sijui kwa nn wanaona single mother hawatakiwi kuishi maisha flani huwa siwaelewi kabisaHalafu sasa ukute makwao wapo,wamelelewa na single mother's, yaani tafrani
Mkuu Lusungo bhana lakini ni Good threadMwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae.
Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie, asipendwe au aonekane disperate na kufanywa kama chombo cha starehe na wanaume wakware. Ndio, yeye ni mama na ni mwanamke pia, tena mwanamke mzuri ambaye ana a lot of things to offer!
Black bro, mpende kama wanawake wengine na usimuone kama yuko dillema ukatumia huo udhaifu wake. Usimuone kama anatafuta mwanaume wa kumsaidia kulea mtoto wake. Licha ya aliyopitia bado Hajavunjika moyo, she is not a mess!
Ni mwanamke mzuri, anayepambana na hali yake na wala hatafuti huruma. Anampenda mtoto wake kwa moyo wote, na anao upendo wa hali ya juu kwa mtu ambae ataonesha kumthamini. Mpende, na jaribu kuelewa mazingira yaliyomfanya mpaka akawa single mother, ukielewa hilo utajikuta ukimheshimu kwa yale aliyopitia!
Uhisi uzuri wake, muone namna anavyopenda it is beyond her motherhood, mtazame namna anavyomkuza mtoto wake, namna anavyomlea mwanae, inaonesha namna yeye binafsi alivyo. Ni rahisi mno kumpenda, ni rahisi mno kumpenda mtoto wake.
Single mother, ninyi ni wazuri. Mna moyo wa kulea; naamini siku moja mtakuja kuwa wake wazuri kwa mwanaume atakaetambua namna mlivyo!!
Let us Stand ovation to all single mums [emoji817][emoji817]
NB: Natoa zawadi ya iphone 7 Space gray 128GB kwa single mother atakaetoa ushuhuda mzuri kupita wote....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoano ya kishamba sana. Cha ajabu wapo wasiojielewa watanaswa.
MpendwaAiseee
Jf pekee single mother anaonekana mtu wa ajabu sana sijui kwa nn
Unaafiki tu ila ni upuuzi kwa sababu wewe ukisema humtaki mwenzio anamtakaInasikitisha sana yaan sijui kwa nn wanaona single hawatakiwi kuishi maisha flani huwa siwaelewi kabisa
Na usikute wanaoponda single mom nao kuna watoto kadhaa wametelekeza tushkuru sana hizo I'd fake na avatar unaongea tu unachojisikiaKwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Dah ni kuwahurumia tuUnaafiki tu ila ni upuuzi kwa sababu wewe ukisema humtaki mwenzio anamtaka
Wote humu tumetoka Mars sio duniani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wala hatuna madada waliokataliwa piaKwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Ujinga tu yote kheri lakini huwezi lazimisha A iwe Sawa na BDah ni kuwahurumia tu
Kweli kabisaUjinga tu yote kheri lakini huwezi lazimisha A iwe Sawa na B
Halafu sasa ukute makwao wapo,wamelelewa na single mother's, yaani tafrani
Wote humu tumetoka Mars sio duniani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wala hatuna madada waliokataliwa pia
Wala sio single weye wapata huduma zote hizo!hivi kama umezaa na mtu ila anahudumia vizuri mwanae na wewe au mtoto tu(chukulia kaoa mwingine au hajaoa ila hamna mahusiano) wewe ni single mom?
kama umtag duketachez aje