Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanzaView attachment 1057160
Chemsha yai
Kikiiva limenye
Likate vipande vidogo vidogo
Changanya na mayonnaise
Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake
Unaweza kutengeneza sandwich ya kuendea kazini au picnic.
Msosi wa kawaida mno.Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza
CC Zero IQ
Hata kama ninajenga kula vizuri lazima nileHuu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza
CC Zero IQ
Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza
CC Zero IQ