A real St.Kayumba Primary School

inasikitisha,ipo wapi hii shule?
hii sio shule, katika tanzania shule ziko chache sana, hii na nyingine zifananazo ni kambi za mafunzo. ili shule iwe shule lazima iwe na viwango maalum vinavyotambulika. Wengine wana msururu wa vyumba vya kusomea piwa nao wanaita shule, watu wanafikiri mwalimu na wanafunzi wanapokuwa pamoja bila kujali mazingira yakoje hiyo kuwa hiyo ni shule.
 
Back
Top Bottom