A real St.Kayumba Primary School

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
You can write anything you feel about this picture......
251045_190483097666147_100001133736084_457581_1825318_n.jpg

Kwanini mtoto anayesomea mazingira magumu kama haya hasiitwe geneous akifauri mtihani wa darasa la saba ambao mtoto anaesomea St. Academy amefeli?????

Duuuh haya maisha ya aina hii yanamfanya mtu atamani kununa bunduki kuvamia na kurushia risasasi watu wanaosababisha tatizo hili liendelee kuwepo. Utakuja kushangaa mwisho wa siku tunaanza kuwa na watu kama Anders Behring Breivik( muuaji wa Norway) aliyepoteza maisha ya watu lukuki.

tuna madini ..migodi...wazungu na waarabu tumewauzia mbuga..ni nani ametuloga?

Ningekuwa na address ya JK
ningekuwa na mtumia kila siku
hiii picha kila siku picha moja
mpaka uchaguzi 2015....

hivi ukiangalia upande wa pii wa shlilingi ... hhawa sio watoto wa wafugaji kweli? ma-pastoralist normadists ...labda hawa hawana permanent place t live...i stand to be corrected.

Ningekuwa na address ya JK

ningekuwa na mtumia kila siku

hiii picha kila siku picha moja

mpaka uchaguzi 2015....

mtumie kwa kutumia mail address ya ikulu, pia mbna hata namba yake ya simu alishaitoa omba wadau wakupatie au search from google itakuja link ya mwanahalisi walishawahi kuiweka.

Je tutafika kweli? Hili ni kama bomu linalotengenezwa na sirikali yetu!

You can write anything you feel about this picture......

1. Maisha bora kwa kila Mtanzania
2. A.NGU.KA Zaidi

Back
Top Bottom