A Program Note: Tutaweka Hoja Zetu Wazi


acha mzaha, unachotaka kufanya wala hakijengi bali unazidi kubomoa, huu sio wakati wa kuonyesha nani ni nani, ni wakati wa kuungana, adui yetu ni mmoja, tusianze kuonana maadui wenyewe kwa wenyewe. Au unapenda kuwa mpinzani wa kudumu?
 

Flexibility in politics normally enhance winning strategy
 
As if your opinion matter... kama mtei na mbowe wamepitisha kalamu ya chuma wengine muandike maumivu. Chama kina wenyewe. Slaa alifurahia kipindi maamuzi ya wenye chama yalipokuwa yanamfavor akasahau kwamba ipo siku wenye chama watapata mwenye maslahi ya papo kwa papo zaidi yake.
Wakati zitto ananyolewa slaa hakukumbuka kupitisha mkasi. Mtu mlafi na mpenda hela na madaraka huwa hana rafiki zaidi ya maslahi yake.
Mbowe na mtei ndio wa tabia hizo
1.wapenda hela kuliko chochote
2. Wapenda madaraka
3. Wasokubali kupingwa
4. Wasio na upeo (kiakili yupo short-sited)
5. Wabinafsi (mmimi)
Mtu Mwenye sifa hizo hashindwi kuua kulinda hayo hapo juu.
Jiangalieni sana msije kufa premature death.
 
Daahh!! Mkuu umenikumbusha Malcom X "chicken come home to roost",moja ya misemo iliyomfanya Malcom X kuwa a 'controversial' figure. The Boss
 
Last edited by a moderator:
Daahh!! Mkuu umenikumbusha Malcom X "chicken come home to roost",moja ya misemo iliyomfanya Malcom X kuwa a 'controversial' figure. The Boss

Chochote kile unachokitumia kufanikisha jambo
siku mtu au wattu wengine wakikitumia dhidi yako
huu msemo una apply sana

CHADEMA walikuwa kama kunddi la wanaharakati na sio chama cha siasa
mttu akitofautiana kidogo anaitwa msaliti na kufukuzwa au kutengwa
sasa leo ni SLAA ndo yuko tofauti na wenzake...unaweza ona kinachoendelea
 
Nimegundua Tanzania ni nchi ya watu wa ajabu sana...
Watanzania wengi ni wabaguzi, wabinafsi na tena ni wachanga sana kwenye siasa za ukombozi...!!!
 
Nilikuwa napenda sana kusoma maandishi yako lakini wa hili la Slaa na Lowassa naona umekosa mang'amuzi kabisa! You are behind the reality!!!!
 


Hakika hata mimi mwanzoni nilipinga sana ujio wa Lowassa lakini baada ya siku 2 na baada ya kumsikiliza Mh Mbowe nakujilidhisha kwamba adui yetu ni Ccm nimeludi kundini,na ningefurahi sana nawaasi wengine waludi.Mungu ibariki Chadema,Mungu ibariki UKAWA!
 
Yeyote anayeishi Tanzania alitegemea CDM ichukue nchi ili CCM inyee debe, lakini kama ndo hivyo tutajenga nchi? Acha watu waache mabaya wajenge nchi. Dr Slaa na wengine naheshimu maamuzi yenu sana, nchi masikini kama yetu haina watu wengi hivi
 
MM....kwavile Mungu kanipa akili....nitaitumia vyema.....haiwezekani tumpuuze Dr Slaa dakika hii.....wengine tunajua mapito yake....nitasimama nae......

Sikubaliani na wewe kama mapenzi yako uliweka kwa mtu hapo sawa lakini mapenzi yangu yapo kwa chama. Hatuwezi kuendelea kwa kupeana tuhuma zisizo na msingi wowote. Binafsi naona kama vile Dr. Slaa alikuwa ni kikwazo cha ushindi kwa Chadema kwa hiki alichokifanya sasa. Kama kweli anaushahidi kuwa Lowasa ni fisadi mbona hajampeleka mahakamani? Lowasa kasema mikono yake ni misafi waziwazi bila kuficha na kamtaja mtu ambaye mikono yake ni michafu waziwazi ulitaka ajiteteeje tena zaidi ya hapo? Kila mwanachama hata yule atakaye jiunga kesho anahaki sawa na yule aliyejiunga wakati chadema inaanza sasa kunashida gani kwa Lowasa kugombea Uraisi chadema? Bora twende kwenye uchaguzi bila Dr. slaa na tukapoteze kuliko kuwa na mtu wa aina yake ambaye ukitaka kukimbia yeye anakuvuta shati, ukutaka kuruka anakupiga mtama. Hakuna mwezi maamuzi ya juu kuliko cc na balaza kuu la chama. Afanye chochote anachoona kinafaa lakini sisi tunasonga mbele.

Watanzania tuanche kumuongelea mtu bali tuongelee issues, Dr. Slaa bila system nzuri asingekuwa na uzuri unaomuona anao leo. Slaa hawezi kitu bila Lissu, Mnyika, Mdee, Sugu, Lema, Wenjee, Mabere marando, Pr. Safari, Mboe, Salm Mwalimu. Hivyo sytem ndiyo inayo amua na siyo mtu mmoja. Tumwache mzee wa watu apumzike kwa amani maana matendo anayofanya yanaanza kuibua hisia nyingi za safari ya maisha yake tangu akiwa padri na kushawishi watu kuanza kujua kwanini aliacha kazi ya Mungu.
1. Anatabia za kikoloni
2. Anataka anachoamini yeye tuu ndiyo kiwe hivyo
3. Hamheshimu bosi wake
4.
 
MM ni chura Wa kijani
 

Ilifikia muda ukikosoa tu chadema, utatukanwa matusi yote ya nguoni

Niliamini ni bora uwa shape/tune au kuwatayarisha viongozi wajao kuliko walioko madarakani

kambi ya chadema ikaingiwa na matusi na defence mechanism ya hali yajuu

Mbowe hakuwa mtu wa kushaurika, kusikiliza n.k

kuna watu natamani niwataje kwa majina, wamepotea kabisa,

mliyataka haya!
 

Hakuna mwalimu mzuri kama mda, wamepewa mda mwalimu ameanza kuwafunza vizuri sana. Na waliobaki wapeni mda tu.
 
kwi kwi kwa kwa maccm bwana mumepata pakujipandisha chat na propaganda MM aje tu na mada zale zitasaidia kujuwa baadhi ya wanachadema wanafikiria nini ukweli kama wananchi wakiwaelewa chadema na ukawa MM naye ataelewa kwa nini CCM ing,oke mabadiriko hayana fence eti wewe usije sisi tulimwaga damu
 
kama hujui kitu ni bora kunyamaza. Zitto alipochukua form 2009 alizuiwa hata kupigiwa kura. nahapo zikaanza danadana mara wazee wakaambiwa wamshawishi ajitoe. Tena wakati huo akina bob nyange makani wakiwa hai, huyu edwin mtei unayemsikia kila siku na wengine.
kama kweli demokrasia ilikuwa inazingatiwa ni kitu gani kilichopelekea hayo yote. na baada ya hapo likaundwa zengwe la kuhakikisha zito anafukuzwa kabla ya uchaguzi uliofuta. haya unayoyasema kwa zitto ni matokeo tu na wala sio chanzo cha zitto kufukuzwa chadema hii ya wapiga dili.
hata kabla ya hapo sote tunakumbuka kilichotokea kwa chacha wangwe.
tatizo lenu mmekuwa misukule, hamuoni wala hamsikii. au ndo unaanza kujua mambo sasa hivi kwa hiyo hujui ya hapo kabla.


Acha kupotosha, Zitto hakuzuiwa kugombea uenyekiti !.

Acha kuongea statement za jumla jumla ambazo umezibadilisha kwenye fikra zako kuwa facts baada ya kusoma propaganda mbali mbali na kuamini kwamba huo ndio ukweli !

 
ha ha we are not blind propaganda hizi hazisaidii kitu
 
Acha kupotosha, Zitto hakuzuiwa kugombea uenyekiti !.

Acha kuongea statement za jumla jumla ambazo umezibadilisha kwenye fikra zako kuwa facts baada ya kusoma propaganda mbali mbali na kuamini kwamba huo ndio ukweli !

Hii ya juzi ilikuwa ni attempt ya mara ya pili kwa Zitto kutaka kugombea uenyekiti. Mara ya kwanza alizuiwa na 'wazee wa chama'. Mara ya pili, alitimuliwa wakati anapanga mikakati ya kugombea uenyekiti ambao hat aMbowe alikuwa anautaka. Ingekuwa haina shida kama Zitto angefukuza kwa makosa mengine(maana alikuwa nayo mengi) lakini sio la kupanga mikakati ya kugombea uenyekiti maana inakuwa kama Mbowe alikuwa anaogopa kushindana nae kwenye kura-kitu ambacho kinaua dhana ya demokrasia ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…