Hio sio propropaganda bro, dunia nzima wanajua kwamba Wapalestine wanapigwa na mabomu ya Israel kila siku (Waisrael wameitawala inchi ya watu kimabavu na Inawauwa watu wa inchi hiyo kila siku).
Kwenye shule za islamic seminary zinafundisha kivingine kuhusu Solar system, lakini mtume anasema jua linazama kwenye tope. Sasa mnatakwa muuawe
Kwani pale makka kuna makafiri wangapi wanaishi pasi na kuuawa tatizo lako umezoea kulishwa matango pori pale kanisani sio makosa yako.
Aya zetu zinashereshwa na mtume wetu kupitia hadithi sahih wewe endelea kushehereshewa biblia yako na Gwajima akikwambia muache mke wako akae nae usiku kucha amtoe mapepo kubali tu....
Akili zilizokosa hoja siku zote haziwezi kufanya mjadala.
Pole sana.
Ha haa ha haha, Misukule ninyi kaazi kweli kwweli,Kumbe quran kuelewa inabidi mtu asome aya zote ? kwakdri ya Quran,kile kilichoandikwa inamaanisha kisomekavyo (kama sivyo naomba ukanushe na utoe mifano) aya moja haitegemi aya nyingine,japo sura na aya zake yaweza kuwa ni superior kwa sura na aya ya nyuma na iliyo superior ndiyo inayofuatwa,unapoandika mtu asome aya zote za sura hiyo ili iwe nini ? kilchoamriwa na Shetani wewe kinashindwa kupata uhalali kichwani mwako kwa kuwa unayo alama ya Roho mtakatifu inayokushuhudia kwamba Kuua watu ati kwa sababu hawaamini sawa na mimi ''Haiwezekani'' ndiyo maana unasherehesha maagizo ya Allah ili yasionekana kwamba aliagiza kuuwa wasiomwamini.
Sasa clarifications hutaki unataka nini??
Kama kuna aya huzielewi weka ufafanuliwe.
Uislam ni dini ya fact na hoja.
Na sio kumeza meza tu kwamba mungu alikuwa mzungu basi sawa.
Au mungu alikuwa na mama sijui ana mtoto basi sawa.
Sijui akukipiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia basi sawa haiko hivyo.
Ni Ruksa kuhoji katika uislamu.
Makafiri sikilizeni.
Ukweli moyoni mwenu mnaujua fika kuwa nyinyi mmepotea njia.
Sema hamtaki kukubali.
Sasa nyinyi hata mchukie vipi huu uislam hamuwez kuutokomeza.
Mmezaliwa mtakufa mtauacha.
Na kipigo na adhabu kali za moto zinawasubiri.
Salama yenu nyinyi ni kwamba hakikisheni hamfi ila mmekuwa waislamu.
Vinginevyo huko tunakokwenda sio kuzuri kwenu hata kidogo.
Na makafiri usiwadanganye huo wingi wenu mnaouona kwa sasa.
Ogopeni moto wa Allah tunawausia.
1) Hao sio wayahudi, hao ni wazungu kutoka Europe, wee mbona unadanganyika kirahisi sana (hivi haujui history wee) Israel haikuepo kabla ya mwaka 1948.
2) Hamas walikana kuhusika na utekaji huo
Wee endelea tu kuwa support ma criminals, I think you have forgotten God almighty who hear, see and judge.
Huyo ulionayo wewe sio roho mtakatifu huyo ni shetani.
Waislamu tu ndio wanapozwa roho na malaika.
israel imetajwa kwenye bible hadi quran...palestina imetajwa sehemu gani?...sasa hao waarabu wametokea wapi? waarabu ndo wamevamia pale kwa hiyo kichapo ni halali yao
Blames to Hamas!
They kidnapped and killed three youths for no offense.
Remember the youths were schoolers not soldiers!
Bodies of three missing Israeli teenagers found in West Bank | World news | The Guardian
They launched hundreds of rockets in Israel. IDF is not a Jazz Band but army that is charged with protecting the State of Israel at any cost!
They use civilians as their shields. You seem to pity "Palestinians" civilians which I really do also. But when amunition and rocket launchers are in civilian houses and backyards, what do you expect the IDF to do? Just watch as Israel burns?
I was watching a wedding when code red siren sounded and the wedding had to end there, all running to shelter. I would not vouch for that in Tanzania, nor in Israel. IDF have to pound Hamas weapons, wherever they are.
I support the right of Israel to defend herself!
Sasa wewe unakuwa kama umerukwa na akili.
We unaichomoa hiyo aya na kuibandika kivyake huku unaacha kuweka kisa kizima kwanini imeeleza hivyo??
Hapo ulipiambiwa hadi walipe kodi zao vipi hapakushughulishi??
Hiyo sura ni kisa kurefu kimeanzia huko nyuma kuelezea madhila waliyokawa wanayapata waislam kipindi hiko kama haya wayapatayo kipindi hiki.
Then wakaambiwa wajilinde na kuokoa uhai wao.
Ni juu yako kukubali ama kutokubali tunachokuambia.
Kwa sababu after all kusema kwako ubaya dhidi ya uislam either kwa makusudi ama kwa kutojua hakuathiri chochote uislamu.
Uislam wewe umezaliwa umeukuta na urakufa utauacha kama walivyouacha makafiri wenzako wa zama na zama waliopita waliokawa ngangari na imara zaidi yako katika kuuchukia uislam.
Wamekufilia mbali huko na wameoza.
Uislam bado upo dunian unaendelea kwa kasi ya ajabu.
Na akhera kuna adhabu kali kabisa kwa makafiri wasioamini mungu kama wewe.
Jehannam inawangoja na mtaungua humo milele na milele.
Subirini tu.
Tutakufa soon na ukweli mtaujua huko huko.
Acha uongo bro, pia usisahau kwamba Palestine imetawaliwa na wakoloni.
Wapo katika vita vya kupigania uhuru wa inchi yao.
Sure, its there for any sane person to see. Unless you are blind or do not know how to use the internet!You have any evidence that thos three boys were killed by hammas?
israel imetajwa kwenye bible hadi quran...palestina imetajwa sehemu gani?...sasa hao waarabu wametokea wapi? waarabu ndo wamevamia pale kwa hiyo kichapo ni halali yao
Sure, its there for any sane person to see. Unless you are blind or do not know how to use the internet!
israel imetajwa kwenye bible hadi quran...palestina imetajwa sehemu gani?...sasa hao waarabu wametokea wapi? waarabu ndo wamevamia pale kwa hiyo kichapo ni halali yao
Well ni vema ukaonesha ni wapi nimesema uongo. Kusema uongo ni dhambi, kusingizia mtu kasema uongo ni dhambi pia.
Israel sio wakoloni. Hakuna dola ya Palestina iliwahi kutawala mashariki ya kati. Hakuna lugha ya "kipalestina" iliwahi kuwepo. Hakuna jamii ya wapalestina iliwahi kuishi duniani. Kiukweli hao wanaoitwa Wapalestina, wengi wanatoka Syria, Jordan na Lebanon, na mataifa mengine ya kiarabu. Mfano tu ni rais wa Palestinia Authority, ana uraia wa Jordan.
Huwezi kupigania uhuru wa nchi ambayo haikuwahi kuwapo. Kama una ushahidi wa aian yeyote kuwa kulikuwa na hayo yote, weka hapa kila mtu auone.
Ironically, Jerusalem Post, gazeti la Wayahudi lilikuwa miaka hiyo linaitwa Palestine Post. Sasa changanya na zako hapo!