A Night Date with a Man

A Night Date with a Man

Kijana mjinga sana, alitakiwa ajilipue liwalo na liwe maana mbeleni huko utakuja kumtukana kuwa ulijiweka tayari ila akashindwa.

Ningekuwa mimi hapo ungechagua kimoja kunipa kimasihala au kunichukia na vyote ni matokeo nitayabeba tu.

Huyo hakupati tena ameshakuogopa na wewe ushamuona mdogo wako.
 
Unayatumbua kabla ya show😂
NIna tatizo, kuna siku nilipanda daladala kuna mmama gauni lake lina uzi umetoka, dah unaweza itwa mchawi bure.. maana niliteseka sana mpaka nikabidi nimweleze huu uzi ukate huku nimeshika kipande cha gauni nikaukata nikampa...akacheka

Nikiona kipele natamani nikitumbue hata mate yanajaa mdomoni
Am not perfect I tend to obsess 😬
 
Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,

First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,

Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,

Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,

Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,

Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.

NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
Aisee
 
Una OCD wewe 😅

Hapo hakikisha unamjali dem wako tu, ananyoleaje mawembe wakati kuna waxing na veet kibao!
 
Just litle obession haina madhara
Waxing can also be painful not for everyone
Unajua wafrika tuna nywele ngumu sana?

Am not complaining, i preffer hidden coochie the more the hairs the better
Haya mambo ya kunyoa vinatisha sana

Vikiwa na nywele, certain size inaoendeza....mtazamo wangu
 
Lesbian
 
Ndiomaana nmeweka option no 2 hapo kuna veet na the like na haizidi elfu 10 anatumia more than 3 months kwa ambao hawaoti nywele sana hata mwaka inamaliza!
Am not complaining, i preffer hidden coochie the more the hairs the better
Haya mambo ya kunyoa vinatisha sana
Eenh! Hapo mtu awe msafi sana na umjulie ili msichubuane! Huyo mwenye pua chini ndio kakutisha bana😂
Vikiwa na nywele, certain size inaoendeza....mtazamo wangu
Sio zote kuna vipipili kumbuka😁

Hii hapo sampo nakuwekea umpelekee😅
 
Attachments

  • 59ADC1F0-45D6-4563-AE3A-B3E73AFF7770.jpeg
    59ADC1F0-45D6-4563-AE3A-B3E73AFF7770.jpeg
    113.5 KB · Views: 2
Kuna vile vifyatuzi vya kubinjua kwa juu vile ndo vizuri, maana utasikia fyaaaaa kinarusha pande zote😋😋😋
Eeeenh....hapo unakazania kuchuanisha kichwa cha em bii oo na haragwe chukuchukuchukuchukuchuku uko mnalitazama vile limesimama likirusha maji moto halafu mnatazamana usoni kisha mnakutanisha tusi la pamoja Qmanyokohhh!!
 
asante ila nimeshangaa huyo hendsam boy wako baada ya kukupeleka nyumbani naye akaenda nyumbani kwake si kama uliweza kumwambia abadilishe location na kuenda night club ungemwambia alale kwako mumalizie hiyo siku
Handsome kafeli kumbeeee, ndio shida ya wakaka wazuri wanakuaga wamepooza sana
 
Back
Top Bottom