Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,022
- 7,259
Bado hujaelewaSehemu gani ?
Bado hujaelewaSehemu gani ?
Unge weka picha ya doto magari kkAchana na sisi wewe... View attachment 3696004
Naona nilivamiwa ndiyo nataka kufahamu kwenye tafsiri sio lzm tufanane ila tunaweza kuelekea kwenye maana ile ile....Bado hujaelewa
Hapa kwa sifa hizi sizani kama anazungumziwa mwanaume"Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu
Kasema hataki mwenye ndevu..hujamuelewa tu bdo?Kaelezea hapo mm ndevu ninazo nipo smart hilo halina pingamizi
Aseeh mm nili comment vile nikijua nn nakilenga kwa mtoa mada,, sio kwamba sijamwelewaKasema hataki mwenye ndevu..hujamuelewa tu bdo?
Kijana mtanashati amenyooka ila hana ndevu sijui kama atakufaa, hahahahaNimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!
But kijana umemuelezea vizuri sana
Aah..naona sasa umeamua kuacha ndala baada ya kumjua mtoa mada ni naniAseeh mm nili comment vile nikijua nn nakilenga kwa mtoa mada,, sio kwamba sijamwelewa
Ila walio ni-qoute ndiyo wao wamechukulia kuwa sijamwelewa ila mm nilijbu vile makusudi kwa ajili ya Dr.
Namjua vzr mkuu ndo maana ya kujibu vile sikukurupuka 😅Aah..naona sasa umeamua kuacha ndala baada ya kumjua mtoa mada ni nani
Utanashati najua unao labda kula kuchaNaanza kufanyia kazi hizi sifa.
Aaaaahhhhh Qmmmmmaaamake!!Wewe hebu hao wenye ndevu wasukimizie huku,, kidevu cha Jacob hakiwezi kuwa flat km cha halima, hapo ni km kuwa na mwanamke mwenzio,
Hapo mwishoni hivi huwa mnarusha maji ya uzima na nyie,, nahurumia visimi vyenu,,
mbalizi1 njoo usome huko
Madam na mimi 😁
🤣🤣🤣Hapo mwisho umeamdikaje? Sijaelewa.Akili zangu ni nyembamba hazijajua methali.
Nilienjoy kiasi dear, tena nilikuwazia wakati nimekaa na yule mkaka handsome ila nikakumbuka unapenda ndevu, heheheheHongera Dr kwa out hiyo, hope uli enjoy!
Upoooogo????????????????????