kata tuchat
Senior Member
- Mar 8, 2026
- 181
- 337
Nasikia ukiingia kwenye kusagana hutamani tena wanaumeGuys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,
First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,
Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,
Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,
Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,
Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.
NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
Sawa Kobazindevu sinyoi
KweliNasikia ukiingia kwenye kusagana hutamani tena wanaume
Marhabaaa mdogo wangu, hujambo?Dr. Shikamoo
Hawezi kuzipenda kwa sbb anapenda wanawake wenzie..hizo hajazizoea...Achana na sisi wewe... View attachment 3696004
Kwamba ndo yeye?Sahihi kabisa...
Ila kuna Dr. Mmoja huko Instagram ana mwili mmoja mashallah na ni mtu wa mazoezi sana.
Juzi kati hapa alipata shida na Bolt...
Yule Dr. Yule
nilishangaa eti watu wanasubiri kula kimasihara kwani hawajuiHawezi kuzipenda kwa sbb anapenda wanawake wenzie..hizo hajazizoea...
Ingekuwa poa sanaKwamba ndo yeye?
Sijambo kabisa.Marhabaaa mdogo wangu, hujambo?
Umemalizia vibaya nilijua amekukula mpaka ukatoshekaGuys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,
First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,
Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,
Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,
Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,
Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.
NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
Sasa ukimweleza unadhani atakuja? Yani unataka kumnasa ndege unapiga mayowe hauwezi kumnasa.Kwanini usimweleze kabisa kabla hajaja?
🤣🤣🤣Sasa ukimweleza unadhani atakuja? Yani unataka kumnasa ndege unapiga mayowe hauwezi kumnasa.
Desturi ya muwindaji ni kimyakimya akimkaribia mnyama ni kudunga tu mishale, hapo podo la mishale na upinde viko standby.
Kwa anavyojieleza huyu daktari wetu mariposa ni mdada mrembo yule sio mremboIngekuwa poa sana
Wanajitoa ufahamu...nilishangaa eti watu wanasubiri kula kimasihara kwani hawajui
Nimesikitika sana kwani binti yangu anaipenda kazi hiyoIla wewe Steve mbona umeenda mbali sanaaaaa, lol
Soma tena vizuri ukiwa umetulia mkuu between linesHakuna alipotunukiwa soma kwa sautu kuu NB uelewe
Story imeisha? Au tusubili muendelezo.Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,