A Night Date with a Man

Yeah, imagine ukiniona niko nyumbani nakuwa quite serious
Au ukute niko na majukumu ya ki ukoo unaweza usizanie kama mimi

Naweza kuishi katika mazingira tofauti, thats the good thing

Hata hivyo nadhani umri unavyolwemda na majukumu yanavyoongezeka unajikuta ynakuwa kifaza

At mid 30s and naamkiwa sana shikamoo. Including wife ananiamkia shikamoo. Haha life goes too fast
 
Coca upo? Long time

Kwani hujawahi kukutana na ishu kama hiyo? πŸ˜€
Nipo sanaa!! Sijakuona mda sana, au ndio uko buzzy na Ulezi? Nakumbuka last time ulisema mkeo ni mjamzito. Toka hapo ukawa mute hadi leo.

Aaah mie hivyo sio vitu vyangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo sanaa!! Sijakuona mda sana, au ndio uko buzzy na Ulezi? Nakumbuka last time ulisema mkeo ni mjamzito. Toka hapo ukawa mute hadi leo.

Aaah mie hivyo sio vitu vyangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah acha tu akaja kuzaa tena , na ilikuwa kipindi cha mabomu last year acha tu niliteseka
Pia alochanika mshono kichwa cha mtoto kikawa nje. Doctor anachana layer nywele ziko nje ya mfuko wa uzazi.

Mtoto kazaliwa miezi nane, huku online wanasema mtoto hazaliwi miezi nae nikapata wasiwas kama atakuwa sawa
Ila nina mtoto wa kike, sasa huyu wa tatu

Coca hujaacha mambo yako tu, siku jaribu kula mbususu uje utupe mrejesho
Nikiona ID yako namkumbuka kisura wa Mbeya na mauno yakeπŸ˜€

Anyway nina bosi wangu jana napita kwenye page yake naona he came out as transgender.
Nikashangaa ana mke na watoto. Sasa with gender rainbow wewe tunakuweka kwenye kundi gani?
 
Kwanini anakuamkia? Au ndio ana adabu sana😁

Sema umechagua chaguo jema kuliko kupoteza muda kuibua mambo yasiyo na msaada kwenye familia yako faza😊
 
Kwanini anakuamkia? Au ndio ana adabu sana😁

Sema umechagua chaguo jema kuliko kupoteza muda kuibua mambo yasiyo na msaada kwenye familia yako faza😊
Haha nikiamka asubuhi "Shikamoo mme wangu"
Hapo kabla nilikuwa siitikii ila sasa naitila tu

Nimecheka, ufaza unaweza kuufikia mapema au ukala ujana. Ila haukwepeki

Seran ina maana hujawahi kuwaza ukofika 50s itakuaje. Are you going yo be forever 20s?
 
Hongera kwa kuwa baba, wee nae unamzalisha huyo wizzo km ugomvi? Au umeambiwa baadae atakua tasa, lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kisura wa Mbeya?? Hapanaa umeenda mbali sana, mie niweke kwa Frankie Maston au Noel, hawa ndio niko nao level 1.

BOSS wako alikua na jinsi gani na sasa ako na gani??
 
Heee mimi siwezi tena bora mzee ntajikaza!

Hahhaha ndio faza inatokea tuπŸ˜†

20s nilishavuka na nilishasahau mzee acha tu😐
 
Embu malizia story vizuri Dr, moderator waunganishe huu uzi kule kwa Rikiboy πŸ™ƒ
 
Acha tu nadhani nina mbegu zenye nguvu sana

Haha Noel, inawezekana ukawa Noel. Au wewe ni mkenya choku?

Bosi ni wa kiume, na ana mke na watoto. Sasa hivi ni transgander na anavaa nguo za kike magauni
Ni mwalimu wa chuo huko.

Dunia inaenda kasi.
 
Acha tu nadhani nina mbegu zenye nguvu sana

Haha Noel, inawezekana ukawa Noel. Au wewe ni mkenya choku?

Bosi ni wa kiume, na ana mke na watoto. Sasa hivi ni transgander na anavaa nguo za kike magauni
Ni mwalimu wa chuo huko.

Dunia inaenda kasi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ choku na kinuthia hawa wamevuka mipaka sasa, si ndio wamefanya trans,

Mie nafit kwa Noel au Frankie Maston. Au Rio Paul, Rehmtullah kiduchuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hongera kuwa na uzazi wa karibu mno
Boss wako ameamua aishi uhalisia wake, hope hayuko Bongo.
 
Heee mimi siwezi tena bora mzee ntajikaza!

Hahhaha ndio faza inatokea tuπŸ˜†

20s nilishavuka na nilishasahau mzee acha tu😐
landa alifundishwa hivyo najuaje, nakumbuka nilikuwa na girl, aisee isingekuwa mamb yaliingiliana angekuwa mke sasa.
Yule kuna siku tunatoka posta miaka hiyo wakati naamza chuo. Gari daladala za posta zilikuwa za kugombania. Yule girl tuligombania vizuri kuja kwenye siti tunasukumana kuja kuangalia ni yeye, tena mke mtarajiwa. Haha now yuko marekani anasimea masters ya udaktari MD

Huyu niliyekuwa nae, wakati nakutana nae alinipisha nikae kwenye siti nilishangaa sana. Ikanidi nijifanye gentleman nimwambie kaa wewe

Maisha hayawezi kuwa too serios, tunaenjoy while we can. Soon kunachwea

Acha ufala faza mwenyew🀣🀣🀣🀣

Haha mimi najua kabisa uko late 20s labda 28, 29 hivi.

Nacheka eti umesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…