ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
- #121
Kama hamjui unataka asemeje?
Wewe hujuia kuwa Slaa alikuwa Zanzibar na Ludovick wakifanya kampeni za "kijasusi"?
Kama hamjui unataka asemeje?
Hawa makamanda wameonyeshwa mfano mzuri sana kuwa kikinuka jamaa wanasepa wanakukana unabaki kivyako lakini hawasikii bado wanashabikia tu wakati viongozi wanakula kuku.Wewe hujuia kuwa Slaa alikuwa Zanzibar na Ludovick wakifanya kampeni za "kijasusi"?
Hawa makamanda wameonyeshwa mfano mzuri sana kuwa kikinuka jamaa wanasepa wanakukana unabaki kivyako lakini hawasikii bado wanashabikia tu wakati viongozi wanakula kuku.
Mkuu,
Umenikumbusha yule kamanda anayesota jela sasa hivi kwa kupiga picha na Lema na nguo za wizi za jeshi...
Umenikumbusha kisasi cha JK kwa babu Seya
hayo mengine mimi SIYAJUI...
Kupenda sana kunapuunguza uwezo wa kufikiri nje ya upendo.Mimi ni muumini wa kusubiri mpaka mtu apatikane na hatia ndiyo nijue amethibitishwa ndiye mkosaji wa kosa tajwa Lakini Kama Lwakatare atatiwa hatiani basi wanaoamini kama aliyoyapanga Lwakatare na kutekelezwa na Lwakatare ndani ya ofisi ya Chadema ni ya Lwakatare huyo atakuwa kipofu,kiziwi na mgonjwa wa akili.Mengi yatajitokeza kwenye hii kesi na Huyo Lwakatare na Ludovick kama wanaufahamu vizuri ushiriki wao ndani ya hili Game basi wajihadhari hata huko gerezani kwani wanaweza kudhuriwa ili mengi yasifahamike wakati wa uendeshwaji kesi ya msingi.Kwa kifupi washiriki wenza wa mipango yao wapo nje na watahaha kuendelea kuficha yale mabaya waliyoyaandaa na kuayatenda. Kama huu mpango mzima si wa kutengenezwa na kuna ukweli basi serikali na vyombo vya dola imewashika pabaya CHADEMA na kwa kuepusha manung'uniko wameamua kuanza na Mh. Lwakatare ili yeye mwenyewe kwa maneno yake na ushahidi dhidi yake wahusika wengine wapatikane na kuunganishwa ktk kesi na kama ni chama nacho kiingie hatiani na kupotezwa ndani ya ramani ya Taifa kama chama cha siasa.Kama nilivyosema awali tusubiri na ukweli utajulikana kwani hadi sasa ni tuhuma na upande wa mashitaka unatakiwa kuthibitisha kwamba tuhuma hizo ni za ukweli na si uzushi na upande wa utetezi unatakiwa kuthibitisha kwamba tuhuma hizo si za kweli bali ni uzushi .Muda ndiyo utaanika ukweli kwetu sisi ambao hatuhusiki na uchunguzi wa swala hili.Wewe ni miongoni mwa waliolaghaiwa. Ila wewe hujashiriki katika kutegea viongozi sumu, ila subiri rafiki zako watakapoanza kutajwa mmoja mmoja. Hawawezi kukushirikisha kwa sababu hawakuamini...
Wavivu wa kujiuliza maswali siku zote huwaachia wengine wafikirie kwa niaba yao.
Wewe ni mmoja wao. Unamsubiri Dr. Slaa akutengenezee majibu...
Kupenda sana kunapuunguza uwezo wa kufikiri nje ya upendo.Mimi ni muumini wa kusubiri mpaka mtu apatikane na hatia ndiyo nijue amethibitishwa ndiye mkosaji wa kosa tajwa Lakini Kama Lwakatare atatiwa hatiani basi wanaoamini kama aliyoyapanga Lwakatare na kutekelezwa na Lwakatare ndani ya ofisi ya Chadema ni ya Lwakatare huyo atakuwa kipofu,kiziwi na mgonjwa wa akili.Mengi yatajitokeza kwenye hii kesi na Huyo Lwakatare na Ludovick kama wanaufahamu vizuri ushiriki wao ndani ya hili Game basi wajihadhari hata huko gerezani kwani wanaweza kudhuriwa ili mengi yasifahamike wakati wa uendeshwaji kesi ya msingi.Kwa kifupi washiriki wenza wa mipango yao wapo nje na watahaha kuendelea kuficha yale mabaya waliyoyaandaa na kuayatenda. Kama huu mpango mzima si wa kutengenezwa na kuna ukweli basi serikali na vyombo vya dola imewashika pabaya CHADEMA na kwa kuepusha manung'uniko wameamua kuanza na Mh. Lwakatare ili yeye mwenyewe kwa maneno yake na ushahidi dhidi yake wahusika wengine wapatikane na kuunganishwa ktk kesi na kama ni chama nacho kiingie hatiani na kupotezwa ndani ya ramani ya Taifa kama chama cha siasa.Kama nilivyosema awali tusubiri na ukweli utajulikana kwani hadi sasa ni tuhuma na upande wa mashitaka unatakiwa kuthibitisha kwamba tuhuma hizo ni za ukweli na si uzushi na upande wa utetezi unatakiwa kuthibitisha kwamba tuhuma hizo si za kweli bali ni uzushi .Muda ndiyo utaanika ukweli kwetu sisi ambao hatuhusiki na uchunguzi wa swala hili.
Ben, where are you?This guy is calling you!Ze macropolo,
Hii thread imekaa vizuri sana
Nadhani wahusika wanakuna vichwa huko waliko.
Niliisha muambia Ben kuwa anaonekana anajua mengi sana, mie kama ex cop nashauri kijana ahojiwe kama shahidi muhimu kwenye hii sakata
Ben, where are you?This guy is calling you!
Sikiliza Polisi kama chombo cha dola na Viongozi wa serikali walipiga hesabu za kucheza salama. walipoenda kumkamata Mh. Lwakatware walikuwa wanadeal na CHADEMA in Bracket,Lakini wao walitumia saikolojia ya kwamba hatuwachunguzi chadema au viongozi wengine bali tunamuhitaji Lwakatare na hii ni kutuliza muhemko wa viongozi wa kuu wa chadema kuanza kutia watu barabarani kwa slogan ya kwamba wanaonewa na serikali ya CCM na kwa kuzuga wakaanza nyumbani kwa Lwakatare lkn lengo ilikuwa ofisi ya chadema. Hii ilisaidia sana iliwafanya viongozi wa chadema kutowekeza kwenye Mhemuko pamoja na kauli ya katibu mkuu kwamba ni mchezo wa kupangwa dhidi ya chadema.Lengo la hii kesi ni kupanda na kushuka nao na watapanda nao na kushuka nao kwa maana ya kwamba kama kuna ukweli wataacha ukweli ujiuze na ukweli huo utatoka vinywani mwa wahusika wakuu na vithibitisho vinavyowahusu.Mkuu, you are very close to winning a million dollar!!!
Nasikia kuna kuchokonolewa ya ccm kupitia hayahaya ya chadema, yaani akina mwigulu kuhusika na mipango ya kuvuruga chadema kwa sababu ya urais wa 2015 na mashahidi watakuja akina mwakyembe, mwandosya ulimboka na Jk aje aseme habari za watu ndani ya ccm kuwekeana sumu na aliyapata wapi. Kwahyo kuna mlolongo mreefu ambao mwisho wake itakuwa kufa kwa CcmHii kesi ni tricky sana kwa CHADEMA kama chama.
Kama ofisi ya upelelezi itakuwa imekusanya ushahidi mbadala na ofisi ya mwendesha mashitaka ikawa imejipanga vizuri (wanasheria), yatakayojiri mahakani yatakifanya CHADEMA kuwa na wakati mgumu sana kwenye REHABILITATION PROCESS baada ya kesi kumalizika regardless the outcome of this case.
Kuna watu wanaangalia hii case kiitikadi zaidi na wanasahau kama hii kesi inagonga at the heart of CHADEMA machinery. Kuna uwezekano mkubwa hii kesi ikaibua mifarakano zaidi ndani ya CHADEMA kuliko ilivyo kwa sasa.
Mahakamani hakuna siasa na ubabaishaji. Kila kitu kinakuwa testified under oath. Ushahidi utakatolewa utatuonyesha kwa kiwango gani kuna mshikamano au mifarakano ndani ya CHADEMA.
This is a million dollar question.....
kaka unapoteza tu muda wako,hii issue kwa sasa iko clear kabisa,na wananchi wana hasira sana huku mitaani,you can not cover up,ache sheria ichukue mkondo wake,ushauri kwa chadema,ingetoka huko mafichoni sasa na kuja hadharani kuwaomba radhi wale wote ambao ni wahanga wa oparesheni za lwakatare na chadema wakianzia na familia ya marehemu rasta chacha wangwe..
Nasikia kuna kuchokonolewa ya ccm kupitia hayahaya ya chadema, yaani akina mwigulu kuhusika na mipango ya kuvuruga chadema kwa sababu ya urais wa 2015 na mashahidi watakuja akina mwakyembe, mwandosya ulimboka na Jk aje aseme habari za watu ndani ya ccm kuwekeana sumu na aliyapata wapi. Kwahyo kuna mlolongo mreefu ambao mwisho wake itakuwa kufa kwa Ccm