Chadema wanaweza kuwa na mapungufu yao lakini kwangu mimi ni mashujaaa tena sana. Hivi kweli mtu unasema unaipenda CCM kwa lipi? unafiki pembeni jamani kweli bila upinzani ukiongozwa na Chadema hivi hii nchi ingekuwa wapi....muogopeni Mungu jamani hata kama mnaneemeka na hiyo CCM kumbukeni watanzania wenzenu walio wengi maisha yao ya kila siku yakoje.
Tatizo ni kwamba dogo Saanane alishakiri kuwa alitaka kumpa sumu Zitto. Katika hali kama hiyo anachotakiwa kufanya ni kutoa maelezo tu kuwa hiyo sumu kapewa na nani kwa malengo gani na iwapo kuna mtu mwingine waliyewahi kumdhuru...
chadema hapa kiiiimya.......unapokuwa mshabiki changanya sana na akili zako sasa ni hivi
1. Dr. Slaa atafika kizimbani
2. ben saanane atafika kizimbani
3. Mbowe lazima afike mahakamani
4. mchungaji msigwa.....atafika tu
5. Lema na company yake arusha na nyie hesabu siku
wengine wahusika ni wa kawaida tu, ambao matumbo yao yamelazimika wao wafanye
jaman ccm ni wapuuzi, ila chadema na wanachama wake ni wapuuzi zaidi.......
Tatizo ni kwamba dogo Saanane alishakiri kuwa alitaka kumpa sumu Zitto. Katika hali kama hiyo anachotakiwa kufanya ni kutoa maelezo tu kuwa hiyo sumu kapewa na nani kwa malengo gani na iwapo kuna mtu mwingine waliyewahi kumdhuru...
Double standards hazifai. Lakini sio at least tunaona kuna wahalifu wanashughulikiwa. Swali lilipo ni je, kijana aliyekiri kutaka kumpa sumu Zitto atatajwa mahakamani?
Viongozi wa chama cha siasa wanaotumia sumu kujikita madarakani ni hatari kuliko bomu la nyuklia. Wangepewa nchi hawa ingekuwaa balaa...
We mchekea tumboni katika maisha watu hupitia mengi kabla hawajafika walipo.
Mie nimekamilika kwani nimeptia mafunzo magumu ya kijeshi/polisi nikiwa 18yrs na nimeacha jeshi nikiwa 23 nilipoamua kuingia kwenye ujasiliamali.
Ukumbuke nimesoma kuliko DJ kwa hiyo unaponiita mimi kilaza unakuwa unamdhalilisha mwenyekiti wako
Niko very proud kuwa ex cop, kwanza wahalifu inabidi wafurahi niliacha jeshi kwani nadhani magereza kungekuwa hakutoshi.
Nina mifano hai, watu wengi waliaocha kazi jeshi/polisi huishia kuwa majambazi mtaani. Mkuu hebu nieleweshe procedure za kuacha kazi jeshi/polisi. Nijuavyo mimi mpaka ufukuzwe au utoroke na ukipatikana unakamatwa!. Nisaidie mkuu, maana wengi wanataka kuacha hii kazi wanashindwa.
Sijui ni Episode yenu ya ngapi? Ila inaonyesha mmetayarishwa vizuri kufanikisha hujuma kwa misingi ya dhulma. Kinachowasumbua na ambacho hamna uwezo nacho ni KUDHULUMU NA KUHUJUMU HAKI. Tabia ya kutafuta haki iko hivi; anapoanguka mmoja kwenye mapambano mamia wapya wanakanyaga mwili wake (wanazika) wanasonga mbele
Kwa wapambanaji haki haiombwi bali inatafutwa kwa kila mbinu HADI IPATIKANE. Kwa bahati nzuri utambuzi wa nani ni adui umekamilika kwa hiyo sasa ni mapambano iwe hapa kwenye keyboard, kwenye board room au nyikani. SIKU ZOTE MWENYE HAKI ATASHINDA
S
Sijakataa ila pia sijakubali, nawashangaa Nyie akili za Samaki ambao tayar mmesha Jump into Conclusion.Tukiwaita Wachumia Tumbo na Waganga Njaa kama sio wendawazimu, mnasema tunawatukana.
Mwenzako ZeMarcopolo anaelewelewa nini namaanisaha, na nilikuwa against nae since Ilboru
We mchekea tumboni katika maisha watu hupitia mengi kabla hawajafika walipo.
Mie nimekamilika kwani nimeptia mafunzo magumu ya kijeshi/polisi nikiwa 18yrs na nimeacha jeshi nikiwa 23 nilipoamua kuingia kwenye ujasiliamali.
Ukumbuke nimesoma kuliko DJ kwa hiyo unaponiita mimi kilaza unakuwa unamdhalilisha mwenyekiti wako
Niko very proud kuwa ex cop, kwanza wahalifu inabidi wafurahi niliacha jeshi kwani nadhani magereza kungekuwa hakutoshi.
Ze Marcopolo, hivi b4 hii issue ya lwakatare ulishawahi kuongelea haya mambo ya sumu hap jf au ndiyo umepata upenyo wa kusema baada ya lwakatare kufikishwa kizimbani
Kwa vipimo vyako vya Div 0 na vya Baba Mwanasha mna uwezo wa kuongoza nchi ili hali tunazungumza "failures" (si za ungozi ambao haupo bali utawala wa vifuu vya nazi). Soma vizuri hoja yako na uelewe watu wanaielewaje
Mungu wetu huwa hafichi wanafiki,ccm wameimba nyimbozote zina kataa sasa wanajariibu hii, subiri watakapo angukia pua chademama itapaa hawaitaikamata tena sijui wataimba wimbogani tena maana zote zimeisha
ze marcopolo, nimejaribu kusoma sana huu uzi na comment zako nikagundua wewe umetumwa, haiwezekani ulete uzi halafu wewe ndiyo unabishana na comments nyingine na ku-defend hoja yako kwa 99%.
Kwanini usiweke hoja hapo na ukaacha watu wachangie??? £ Trillion question on U! !
Kama mlivyofanya/mlivyoitumia jf iwe ndiyo chombo cha kukamatia watu through those fixation naona na wewe umeamua kutengeneza yako, sasa wa kukamatwa wa kwanza ni wewe kwa sababu inaonekana kuna mambo mliyokuwa mnayafanya na mnaendelea kuyafanya.
Ukikamatwa wewe utasaidia au utaweza kusaidia only IF kutakuwa na upelelezi wa kweli otherwise ni walewale/yaleyale ya Dr. Uli
========================Je, Ben Saanane atatajwa mahakamani???========================
Imefahamika kuwa zaidi ya kuwa na tuhuma za kurekodiwa akipanga utekaji nyara, Bw. Lwakatare pia anatuhumiwa kutoa sumu kwa lengo la kudhuru binadamu.
Hakimu wa Mahakama ya Kisutu alielezwa kuwa mnamo tarehe 28.12.2012 Bw. Lwakatare akishirikiana na Ludovick walitoa sumu kwa lengo la kumdhuru nd. Dennis Msacky. Jambo hilo walilifanya katika mtaa wa King'ong'o huko Kinondoni Dar es Salaam.
Katika mlolongo wa kesi hii tutaweza kujua sumu hiyo anashutumiwa nani alipewa ili kuifikisha kwa mlengwa. Na iwapo watakutwa na hatia pengine itakuwa chanzo cha kujua kama ni mara ya kwanza jambo hili linafanyika au lilishawahi kufanyika awali.
Ikumbukwe kuwa tuhuma za kutumika sumu ndani ya chadema sio mpya. Kulikuwa na tuhuma kama hizi zikilenga kumduhuru kiongozi wa chama hicho kwa kumtumia kijana aliyepewa kazi hiyo maalum. Hata hivyo tuhuma za awali ziliishia kwenye malumbano yasiyo rasmi na hazikufikishwa kwenye vyombo vya dola.
Je, kijana huyo ataingia kwenye mlolongo wa kesi hii? - This is a million dollar question...
Mnamo tarehe 20 Desemba 2012 kulikuwa na thread inayoelezea jambo hili:
"KUHUSU BEN SAANANE NA KUTUMIKA KUMUUA ZITTO KABWE
Wana jf,Nakili wazi hili swala lilitokea mnamo mwezi wa 5 mwaka 2012 tukiwa Lunch time hotel external kwenye mazungumzo ya kawaida(ambavyo ben saanane anaita ni vikao vya kuhujumu chama). Siku ya tukio tukiwa meza moja na Ben Saanane mkono wake wa kushoto alifunga bandeji akidai ameumia mkono(nakumbuka). Kwa babati mbaya sana katika maongezi yale Ben alilewa pombe (alikuwa anakunywa bia(kilimanjaro). Kulewa kwake pombe alijisahau na kutoa bahasha ya kaki yenye fedha, ndani ya bahasha ile wakati wa kutoa fedha alipe huduma ya chakula na vinywaji alidosha karatasi ya nailoni ndogo ikiwa na unga mwekundu ndani.
Tulimuuliza ni nini hicho akadai ni kuberi,na kuing'ang'ania tusifungue(aliyekiokota ni mwampamba).Lakini Mwampamba aligoma kumpa na kudai lazima ifunguliwe pale pale.
Ben saa nane akiwa katika hali yake ya kulewa alifura kwa hasira kutaka arudishiwe ilekaratasi,haliiliyopelekea uvunjifu wa amani pale lunch time hotel.Mwampamba aliondoka na mzigo ule kwa kukimbia nao, usiku ule Ben alitafutana na mwampamba hadi nyumbani kwake(temeke) akidai huo mzigo(ikumbukwe mwampamba na mm nimeishi kwake na nikaka yangu) . Lakini katika hali ya kusikitisha ben aliomba mzigo ule usiende mbali na kuahidi atasema kweli kile ni nini.
Ben saanane alikili wazi kwamba ile ni sumu lakini anapeleka nyumbani kwa ajili ya kuulia panya, Swala hili halikuishia usiku ule,ben hakufanikiwa kupata mzigo ule kesho yake asubuhi(jumapili) alikwenda kumsihi mwampamba ampatie mzigo.
Sharti lilikuwa aseme ni nini kwasababu huwezi kuwa na sumu eneo la starehe kama pale hotelini huku akisisitiza kuonana na zitto ambaye alisafiri usiku ule kwenda marekani bila kuonana na yeyote kati yetu?
Ndipo Ben saanane akakili ile ni sumu akilenga kumpatia zitto akiwa ametumwa na Dr.slaa.Tulihamaki kusikia kile kitu(hapa tulikua tabata reli stand tukisubiri usafi).Nilimuuliza uthubutu wake wa kufanya kitu kama hicho na kwanini afanye unyama huo,akadai ametumwa Kisa kikiwa ni zitto kumsakama dr.slaa ndani ya vikao vya chama.
Swala hili lilifika mbali kwa kuwekeana mipaka ya kula vyakula mahotelini na kutoshirikiana tena katika ushikaji wetu kama masalia.
Lakini urafiki wetu na ben uliendelea na tukayamaliza haya mambo kishikaji kawa wanasiasa vijana,Ben alifurahi sana ndipo akaja na wazo la PM7 kama movement ya kuendesha harakati huru ndani ya chadema zikilenga kukataa kutumika na viongozi wa chama kama ben alivyotumika kutaka kumuua zitto."
By Zitto Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya jamii.
Ninaomba ndugu Ben Saanane aje hapa jukwaani kuthibitisha maelezo haya ya Bwana Mamuya kutoka Arusha. Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye. Ndugu Ben Saanane nimewasiliana naye kwenye simu mara mbili au tatu kuhusu masuala yake ya kitaaluma au pale alipohisi kuonewa ndani ya chama. Sijawahi kukutana naye hata siku moja. Kama nasema uwongo yeye binafsi aje hapa kukanusha.
Mimi pamoja na wenzangu tumejenga chama hiki mpaka hapa tulipofika. Tumeingiza watu kwenye chama hiki ili kwa pamoja tuweze kujenga asasi imara kabisa ya kidemokrasia. Chama hiki kina damu yangu. Chama hiki kina muda wangu. Chama hiki kina jasho langu. Nitakuwa mtu wa mwisho kusaliti chama hiki. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na CHADEMA. Sitarajii kuwa mwanachama wa chama zaidi ya CHADEMA.
Ninawasihi wana CHADEMA tuache propaganda za kuchafuana. Nguvu kubwa inayotumika kumchafua Zitto ielekezwe kwenye kujenga taasisi imara ya CHADEMA, chama chenye demokrasia, kisicho na upendeleo, chenye uwakilishi wa kitaifa na chenye kuthamini nafasi ya kila mwanachama.
Mamuya, mara kadhaa umetaka kuniona kwa sbaabu nisizozijua na imekuwa ikishindikana. Unapata dhambi kubwa sana kumwaga sumu unayomwaga kwa mtu usiyemjua wala hujawahi kukutana naye.Acha kutumika. Jisimamie. Simamia chama.
Vijana, wote wa vyama vyote, siku zote simamieni misingi (principles) na sio kusimamia watu. Watu sio mawe. Mtaja juta. Misingi inadumu. Watu hawadumu. Acheni kuramba miguu ya watu. Simamieni misingi ya chama. Misingi ya nchi yetu. Misingi ya demokrasia. Kataeni kutumika.
Angalieni, wanaozungumzia sana usaliti waweza kuta ndio wasaliti wakubwa. wanazungumzia usaliti kama 'defensive mechanism'.
Tuacheni ujinga huu. Tufanye kazi. Kazi tu ndio kipimo cha ukamanda na sio kurambaramba visigino vya watu. Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.
Pili, revolutioneries don't talk about deaths. Only cowards do."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.