I Like youMfate Kenya.
Una mikwara utazani baba ubaya baby j
Me too, ulienda wapi hadi troublemaker akaanza kutusumbua
Basi sawa babe, kesho ukitoka tuisheni usiache kupitia hapa getoMama alirudi mapema nikashindwa kutoka babe
Mimi pia nimefurahi kukuonaNilikuwa sehemu hiyo mtandao mbayaaaaaa,lakini kaniona sasa
Nilikuwa najiuliza hii I'd mpya ila mwenye I'd mbona kama mwenyeji? Wewe sio wa kunifanyia hivyo mimi atiNaombeni mnisamehe kwa kumuumiza mwanamke mwenzenu. Nakiri kwa machozi na magoti kua nimekosa.. naomba msamaha
Una mikwara utazani baba ubaya baby j
Sawa babe uninunulie na ile kitu niliyokuambiaBasi sawa babe, kesho ukitoka tuisheni usiache kupitia hapa geto
Mie hapa namlaani ex,,,,, sijawahi ombea ex yeyote jema na sifanyi hivyo, wanisamehe
🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna nafasiBora tu..sasa acha niingie mzima mzima kwa huyu mtoto mzuri
Yupo i guessYupo humu?
I hope soBila shaka atapita pande hzi asome ujumbe wake
🤣🤣🤣 mamdogo usipaniki mambo ya kawaida haya katika safari ya maishaHapo ndio utajua penye miti hapana wajenzi. Binti kama huyu unamuacha kwenye mataa hivi we mwanaume umerogwa au namna gani? Samahani nimepaniki mimi wakati mwenyewe ana amani
Chuki ni mzigo mzito sana kuubeba mkuuWeek Hii Si Ya Kisulisuli Tena Naona Nyunzi Kwa Ma- Ex Wao.
Heri wewe mkuu umemtaki heri pembeni hapo kuna jamaa anamlaani Ex wake.
Asante mamy but too sad i cant tag u when he reply 😊
Sawa mamdogo, ningekuwa na muda ningekuja nile msosi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamdogo usipaniki mambo ya kawaida haya katika safari ya maisha