A man on your bed

A man on your bed

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.

attachment.php
 
Attachments

  • a-romantic-night-with-a-japanese.jpg
    a-romantic-night-with-a-japanese.jpg
    27.7 KB · Views: 1,547
Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.

attachment.php

Hayo majambia hapo ukutani yanaweza kupata kazi ya dharura!
 
duh sipati picha kabisaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Unajua ukifumaniwa halafu unakuwa mtulivu hata mwenye mali atajiuliza huyu jamaa anajiamini nini?? atakuwa mpole tu...
 
Unajua ukifumaniwa halafu unakuwa mtulivu hata mwenye mali atajiuliza huyu jamaa anajiamini nini?? atakuwa mpole tu...

Eeeh !!! Hebu rudia !!!!!..... Jamaa atakuwa mpole ??? Labda limbwata limemkolea, la sivyo yatatokea kuliko ya Musoma.
 
huyu wife wake na yeye hajipendi
chumba chenyewe full equiped afu anafanyia mzaha humo humo.....
 
Kwasababu kitanda ni changu nitawaomba waende chumba cha wageni au sebureni ili mimi niweze kupumzika kutokana na uchovu wa safari
 
Mimi nikimkuta M2 anakula Wife...Ntaishia kuwaambia... "Acheni utani jamani,Acheni utani jamani"... "Mbona mnataniana jamani"..."Acheni utani..."
 
huyu wife wake na yeye hajipendi
chumba chenyewe full equiped afu anafanyia mzaha humo humo.....

Sisy maybe its the other way round, hawara anamfumania mume, gosh teh teh teh.😕
 
Asa kumbe ufanyeje?

Utazinyonya alizomwagia tayari? Unakuwa mpole tu ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom