Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Hebu tuliaaaHapo ndio utajua penye miti hapana wajenzi. Binti kama huyu unamuacha kwenye mataa hivi we mwanaume umerogwa au namna gani? Samahani nimepaniki mimi wakati mwenyewe ana amani
Hebu tuliaaaHapo ndio utajua penye miti hapana wajenzi. Binti kama huyu unamuacha kwenye mataa hivi we mwanaume umerogwa au namna gani? Samahani nimepaniki mimi wakati mwenyewe ana amani
Unataka umfanye nini???😀😀😀😀
Hatari sanaMie hapa namlaani ex,,,,, sijawahi ombea ex yeyote jema na sifanyi hivyo, wanisamehe
Aamyn aamynPole sana mamy inaonekana unampenda sana ex wako pamoja na alivyokuacha bila kutegemea mimi naendelea kukupa pole tu mpenzi utampata mwanaume wa kufanana na wewe huwezi juwa nini Mungu amekuepusha nae
Mie hapa namlaani ex,,,,, sijawahi ombea ex yeyote jema na sifanyi hivyo, wanisamehe
Ndio ipo hivyo mkuu, kumbe umeliona hilo nawe...Mwandiko wa mtoa mada kama unaniambia jamaa akirudi anaweza kupokelewa..Anaonekana ana huruma..
Namfahamu ndio, una swali lingine?Unamfahamu au kufungua mgahawa blah blah tayari ni binti alieshushwa kutoka peponi?!
Kumbe ni weweMara nyingine unakaa chini na kutafakari mwisho unaona kumbe ni heri alivyokuacha,ulivyomuacha au ulivyomkosa. It's a blessing in disguise! I'm glad I let you go.
Kama wewe vile..Inategemea, watu wapole huwa wana maamuzi magumu sana
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] twende kanisani mumeKama wewe vile..
Kilichokufanya ufikie hitimisho hilo ni nini?Kumbe ni wewe
I'm glad I let you goKilichokufanya ufikie hitimisho hilo ni nini?
Natamani ningekuwa huyo jamaa aisee, faster ningerudi na meli ingeng'oa nanga for the second time
I didn't quote her.I'm glad I let you go
Unataka umfanye nini???😀😀😀😀
HahahaahaahhaKakataa kumtag....angemtag ungeona vile ningemfanya 😅
Ooh sawa. Ila pacha mbona pm yangu umeichunia hivyoI didn't quote her.