A message to my Ex!

A message to my Ex!

Message [emoji818]
Massage[emoji808]
Habari za siku nyingi? Naimani uko salama na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Mimi mzima kabisa wa afya ya mwili na akili..

Its been 5mnths now since u went away, haikuwa rahisi kukubaliana na ukweli kwamba ulipita, umeenda, umeniacha! Japo mpaka leo sijaelewa sababu hasa ya kwenda bila kuaga, lkn wakati mwingine nahitimisha tu kwamba "HUKUNIPENDA"! aidha ulikuwa safarini ukahitaji kituo upumzike kidogo alafu uendelee na safari, ama ulikuwa na mategemeo fulani ukayakosa, yote heri nimeshukuru.

Muhimu tu ni kwamba nimekubali matokeo, nimesonga mbele. Nilifanikiwa kurudi mjini na kufanyia kazi moja ya maengo yetu tuliyokuwa tumepanga. Nimepata sehemu nzuri nimefungua mgahawa, nimeona nianze na hii kwanza alafu baadae niweke vinywaji. [emoji4][emoji4] si mkubwa bali kwa uwezo wangu naona ni hatua aisee. Pia ule ukarabati nimefikia hatua za mwisho, Mungu akinijaalia uzima nadhani mwezi ujao itakuwa nimemaliza kabisa.

Vp wewe unaendeleaje? Umefikia wapi na mpango wako ule? Na ile mashine uliipata? Naamini Mungu wetu ni mwaminifu atakuongoza ukafanikishe kila ulilopanga, na kama tayari hongera sana sana!

Kitu nilichojifunza ni kusamehe, kukubali matokeo na kusonga mbele. Zaidi sana kuwaombea wengine. Nakushukuru kwa yote ambayo umenifunza, umenishauri na nakutakia kila lenye heri katika maisha yako na mahusiano yako mapya... uwe na usiku mwema.

Yours, zuriel!
 
massage au message? me nmejua mtu anakandwa huko.

Back
Top Bottom