A living reincarnation, rebirth..!

Mme wangu utanielekeza chumban naona hapa akili haijakaa sawaa
Mama mimi nitawasikiliza maana naona hapa baba kaandika ngumu kumesa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwakweli Mshana Jr kuna sababu nyuma ya ujumbe huu
niliwahi kujiuliza zile imani kabla a imani ya mzungu baba anakufa halafu watoto wanagombania kuondoka na baba
then anazikwa na ng'ombe na pombe na vitu kadhaa vya maisha ya kule after life

Nilipokuwa nasoma historia fulani nilishangaa sana kule korea,china,misri na nchi kadhaa nimesahau yaani akifa mtu kutoka katika familia ya kifalme ama cheif kutoka familia zile zenye nguvu basi anaweza kuzikwa hadi na watu kama 100 hivi.

Israel tu kuna kaburi alizikwa malkia na wanajesh kibao kama watwasi kama wote yaani ni kufuru mno
sasa ukijiuliza yote haya ni kabla ya dini ngeni walipata wapi imani hizi????/
always ni hoja ambazo siwezi kuzipinga wala kuzikubali ila huwa najifunza niweze kuzielewa ili kama akili itakuwa imeshiba basi nitajua nini ni nini
 
Aya ya mwisho umenena vema sana hupingi wala hukubaliani bali unapenda kujifunza!!!!... Nakuhakikishia kwa njia hii utajifunza mengi sana kwakuwa huna mipaka na hujajifunga na nira za kiimani
 
Aya ya mwisho umenena vema sana hupingi wala hukubaliani bali unapenda kujifunza!!!!... Nakuhakikishia kwa njia hii utajifunza mengi sana kwakuwa huna mipaka na hujajifunga na nira za kiimani
Asanthe Mshana Jr nikweli watu wengi wamefungwa mno na imani
Shida kubwa unakuta mtu ni sheikh(sijui kama nimeliandika sahihi) au mchungaji lakini elimu juu ya ulimwengu haielewi kabisa
side effect hawezi kufanya reference nzuri sasa ya mafundisho na uhalisia uliopo.
Niliwahi kutana na mtumishi mmoja hivi kuna jambo alifundisha kwakweli nilikuwa kidato cha kwanza wakati huo ila nikaona kabisa hapa katupeleka chaka waumini
Ila nilipokuja kumdodosa anasema roho mtakatifu nilicheka kimoyo moyo nakuondoka,
Nadhani kuna mambo ya Ufahamu na mambo ya kupokea japo wengi hata ya ufahamu wanayaweka makundi a kupokea.
Elimu ni elimu tu tumejifunza mwanadam asili yake ni nyani tumeyaacha shuleni hukohuko, ila ukileta hoa hizi utaonekana mdogo ake na ibilisi kabisaaa.
Let's learn because we need to teach others, and always the best learner naamini ndio the best teacher
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji106][emoji123][emoji109][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nakumbuka nikiwa ktk madarasa ya utambuzi mwalimu wangu (Adept) aliniambia mada hiyo ni ngumu kidogo kuweza mimi kuielewa tukaachia hapo na mbaya sikuendelea sana hizo β€˜classes β€˜ baada ya mbinyo mkubwa wa jamii yangu na tope zito la mambo ya mila, dini na tamaduni zetu ambazo hazitaki tutoke nje ya boxes na vitisho hapo vya laana ya jamii na wazazi

But still β€˜ I’m spiritual seeker β€˜ muda ukifika nitatoka tu ktk hii β€˜cycle’ na nipate β€˜ self realization β€˜ /enlightenment
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji106][emoji106][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Hawa viongozi wa kidini wanatakiwa wajue namna ya ku-link mambo ya kiroho, kisayansi na hata kijamii kwa sababu kama kutatokea changamoto ambazo zinaibuliwa na watu kama Mshana Jr. na watu wakakosa back up ya maarifa ya waalimu wao (masheikh, wachungaji) inakuwa ni taabu kweli kweli.
 
[emoji115][emoji115][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Sana MKuuu Umenena vyema
huwezi mpiga adui usipomjua uwezo wake ni vigumu mno hata ukishinda inakuwa ni mara moja tu
 
Sana MKuuu Umenena vyema
huwezi mpiga adui usipomjua uwezo wake ni vigumu mno hata ukishinda inakuwa ni mara moja tu
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji106]
 
Hiyo kitu ilishawahi kunitokea mkuu Mshana Jr ingawa ni mda mrefu Sana umepita.
Ilikuwa ni mwaka 2005.Tulienda mbuga ya wanyama ya Manyara na wenzangu wakati tukiwa kidato Cha Kwanza.
Ilikuwa mchana mida ya saa tisa,kwenye mapumziko tukila chakula Cha mchana.
Sikujua ni kwa Nini au lini,lakini Kuna kumbukumbu zinakuja kuwa Haya mazingira nilishawahi kufika kabla.Sikumbuki nilikuwa Nani wakati huo,ila niliona Yale mazingira tuliyokuwa na wenzangu hayakuwa mageni kabisa(yaani Kama flash back flani hivi).Niliishia kujiuliza Maswali ambayo sikupata majibu kabisa.Sikuwahi kumwambia mtu.Niliyaacha hayo mawazo nikachukulia poa kabisa.

Ila Leo umenifungua kichwa mkuu.
Thanks Sana Mshana jr
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu hiyo ni kweli kabisa kwani kwa watu wengine unakuta anafanya kitu lakini anahisi kama hichi kitu amewahi kufanya japo hawezi kukumbuka ni wapi na ni lini japo ni kweli au mwingine roho yake inatoroka na kwenda kwenye matukio ya mbele na kuhifadhi kumbukumbu na baada ya muda yale matukio yanatokea vilevile kwa wale ambao tumeangalia filamu ya final destination tunafahamu hili.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…