Haya "hadithi" hii inatufundisha nini?
mi naona skendo kama hii nikuhakikisha kukamata enough data
then kungoja 2months kabla ya election then kumblast huyu mshenzi on the international media... kwasababu local wote waoga... ama before CCM announces its candidate mnamblast, maandamano, vurugu za hapa na pale: mpaka abanwe aache kugombea!
Nadhani nakubaliana na wewe.
maoni yako tukiyajengea mkakati, yanaweza kumng'oa JK na CCM kwa ujumla wake katika race..
Umng'eo JK ili iweje?, Una uhakika ndo chanzo cha matatizo Tanzania?, Toka tupate uhuru ukiacha serious case ya akina Nalaila Kiula ni awamu ipi ambayo mawaziri au watendaji wakuu serikalini wamefikishwa mahakamani zaidi ya utawala huu wa JK?
angalia historia ya nchi yako kwa ukaribu utashangaa! si wote walifikishwa mahakamani lakini karibu wote walishughulikiwa. Naweza kuanza kutaja mifano. Halafu kama kushangilia ni watu "kufikishwa mahakamani" basi tuna kazi maana kufikishwa mahakamani si kazi hata kidogo. Kama hicho ndicho kinachokufanya uridhike basi tarajia wengi tu watafikishwa mahakamani. Hata Lowassa anaweza kufikishwa mahakamani na watu watashangilia. Not I though.
Umng'oe JK ili iweje?, Una uhakika ndo chanzo cha matatizo Tanzania?, Toka tupate uhuru ukiacha serious case ya akina Nalaila Kiula ni awamu ipi ambayo mawaziri au watendaji wakuu serikalini wamefikishwa mahakamani zaidi ya utawala huu wa JK?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kuiondoa CCM madarakani sio suluhu ya matatizo yetu watanzania.
We better think BIG.
Haya "hadithi" hii inatufundisha nini?
Yes we have to, but how BIG, BIG is doing away with the regime ambayo iko tayari kulindana hata kama madudu yanafanyika hadharani.
Why JK ang'oke, aliingia hapo kwa Rushwa, hawezi kudhibiti Rushwa..kwa hiyo wewe unaona tuendelee naye hadi lini na unadhani ndipo tutaondoa matatizo yetu.
Our main culprit ni CCM na JK ofcourse. Change of regime is what we need.
To me, this is what I call a BIG THINKING na hata wewe hilo likitokea utaona kama ukurasa mpya umefunguliwa, na unaujua ukweli moyoni mwako ili hutaki kuusadiki tu.
Umng'oe JK ili iweje?, Una uhakika ndo chanzo cha matatizo Tanzania?, Toka tupate uhuru ukiacha serious case ya akina Nalaila Kiula ni awamu ipi ambayo mawaziri au watendaji wakuu serikalini wamefikishwa mahakamani zaidi ya utawala huu wa JK?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kuiondoa CCM madarakani sio suluhu ya matatizo yetu watanzania.
We better think BIG.
Tatizo ni WANANCHI WA TANZANIA, na sio viongozi wao. Unataka niendelee kukuelezea au umeelewa?