Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,911
- 236,445
Wao kututukana wanaona kawaida.Daah jamani, halafu haya mambo wanaume wanayatetea kabisa wanayaona ya kawaida.
Hawataki tufanye kazi..ukikubali usifanye manyanyaso yake Sasa...unakula matusi kila siku