A letter to my future lover

A letter to my future lover

Unfortunately criterion number (****) disqualifies me. And you are not that easy to compromise any of what is written herein your letter. Otherwise we could become more than partners.. Intimately stay together and make a good family in future.
 
Nimeingia tu JF nimekutana na huu uzi, namesoma mpaka nimeshindwa kusoma "I like spontaneous sex"

Good lucky katika hook up yako....
 
Have been re- reading your letter to me nd notice that you do have qualifications of the woman that i was been asking God for ..... Your welcome pm cherrie, this might be a starting point of our new journey of life .
Amesema inabidi sarufi na sheria zinazoongoza lugha uwe vyema. Cheki hapo kwenye your welcome urekebishe fasta kabla hajasoma 😀
 
Shida yote ya nini Akati Kuna Wazuri Zaidi yako! Masharti yao ni Sh 500/= Nyie ndio huwa mnaishia kuolewa na Vibabu Vya Miaka 60!

Degree inakusaidia nini katika Mapenzi?
 
Nina maswali kama 100 hivi. Ila kwa sababu muda hautoshi ntauliza moja tu.

QN: Nini kilichokushawishi uje kutafuta baharia jamii forum? Umekosa mtaani?

Swali la nyongeza, kwenye scale ya 1-10, unajipa ngapi kwa uzuri?
Sijakosa wanaume, sijaridhika tu. Na disadvantage ni kuwa mwanaume yeyote anaweza kumtongoza mwanamke, wengi tu, Ila mwisho wa siku unagundua kuna vitu hamko compatible at all.

So modern day problems need modern day solutions.

Mnaweza mkanicheka na kunikebehi na kuniona najiona wathamani sana Ila niko real na ninachokitaka, na hii imemisaidia sana kwenye mahusiano.

I'm going to give this explanation for those with inquiries;
Mahusiano yangu ya Kwanza yaliisha my ex alivyorudi nchini kwao ndio maana nimesisitiza kwenye proximity.

I stayed single but sexually active for a while before starting another relationship which ended up because of trust issues.
Again I'm single but sexually active.

In all those relationships, my exes or I were not perfect but atleast we were compatible based on my standards. Sijawahi settle for less na changamoto nlizopata kwenye mahusiano yaliyopita najaribu kuyakabili kwa kuboresha my standards.

Sio rahisi kupata mwanaume mwenye hizo qualities randomly in real life, kwahiyo kuweka hii post itasaidia kuongeza my chances of getting him.

Kuhusu uzuri, sitaweza kusema I'm a 2, 8 or 10. Beauty is perceived differently by people, it could be a combination of alot other things or just physical aspects to others.

Ila mimi najitambua ni mzuri, some will agree with that, some will not. Everyone has their preferences. As I said, beauty lies in the eyes of the beholder.
 
Back
Top Bottom