A letter to my future lover

A letter to my future lover

I like this concept!
Lets discuss a little bit about the theory of black Hole by Prof Hawking.. do you think is it relevant?.. From Logical reason of your viewpoint.. is it really possible to see great wall of china from Moon/Space keeping in Mind that Great wall of China is two cars wide!

Sincerely Khan
This brings me to another question, can the pyramids also be seen from space like what most people say?
 
This brings me to another question, can the pyramids also be seen from space like what most people say?
Poster will clarify these questions, she do likes these kind of conversations!
 
Kuna threads Kama tatu huko
Moja ilikuwa mke kamfungia mumewe mlango..hataki kufungua kwa sababu alienda mpirani ..akamjibu kwamba aende kulala alikotoka.

Lizarazu anasema the moment mlango utafunguliwa na Yeye kuingia ndani Basi mkewe anatoka
Anasema Ni Bora ukaachana na mke kuliko kuachana na man u au Liverpool Maana Liverpool haiwezi ikakuacha..mke anaweza kukuacha.
Unaona mitazamo yao hii?? Halafu eti ndiyo wanataka sisi tuwapende wao kama walivyo!!
 
U wife material wangu uko wapi huku kila siku nabishana nae
Kwenye vigezo vyake sigusi hata kimoja...hujaona kule juu amesema wanawake waliofika chuo wanakuwa wapumbavu?
Si ndiyo maana nasema ana matatizo huyo aisee
 
Si ndiyo maana nasema ana matatizo huyo aisee
Anataka tusisome ili waanze kutulinganisha na club za Barcelona .
Kuna dada angu mmoja hivi...aliolewa na Huyo mbaba ..kuna siku alimwagiza kitu,bahati mbaya akasahau..
Alivyorudi wacha amtukane...anamwambia unadhani hizi kazi zetu nikama zako za kupika maandazi...Mimi nafanya kazi na sijasahau..wewe nakuagiza unasahau na upo tu nyumbani..ndio Maana shule ilikushinda.
 
Anataka tusisome ili waanze kutulinganisha na club za Barcelona .
Kuna dada angu mmoja hivi...aliolewa na Huyo mbaba ..kuna siku alimwagiza kitu,bahati mbaya akasahau..
Alivyorudi wacha amtukane...anamwambia unadhani hizi kazi zetu nikawa zako za kupika maandazi...Mimi nafanya kazi na sijasahau..wewe nakuagiza unasahau na upo tu nyumbani..ndio Maana shule ilikushinda.
Daah hayo maneno yameniuma utadhani nimetukanwa mimisipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyaswa jamani, machozi yamenilenga.
 
Daah hayo maneno yameniuma utadhani nimetukanwa mimisipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyaswa jamani, machozi yamenilenga.
Alinyanyasika yule dada.
Ilifika kipindi mumewe aliacha kula nyumbani...alipata michepuko...akahamisha nguo,anarudi siku akijisikia.
Akaacha kumuachia hela ya kula,imagine maisha ya dar
Akawa anaomba kwa majirani Chakula,wacha amtukane..umeanza kuhongwa.
Acha tu
 
Daah jamani, halafu haya mambo wanaume wanayatetea kabisa wanayaona ya kawaida.
 
Back
Top Bottom