donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
.
Halafu baadae usiku tukutane The Mint Club kwa wapenda Muziki.
ukiamka asubuhi nikama kuna mtu alikuwa anakwangua.Na kaugali hako utashiba kweli?
Kanda ya ziwa hiyo yoteKumbe hawa jamaa nao wanajua kutegeneza ugali? Hawa si watu wa matunda aina ya ndizi tu?
Nakiona kisiwa cha msira Bukoba.