W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Oct 12, 2012 Thread starter #21 Sangomwile said: Samahani sana Wajad,mtu akitoa jibu la uongo inakuaje?mfano kuna mtu aliuliza,kuchanganya nguo,maji na sabuni Madame B akajibu ni kufua,that is a wrong answer,jibu ni loweka/kuloweka.Naomba mwongozo. Click to expand... Mtu mwingine anaweza akajibu tena swali ambalo hakuridhika na jibu lilotolewa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sangomwile said: Samahani sana Wajad,mtu akitoa jibu la uongo inakuaje?mfano kuna mtu aliuliza,kuchanganya nguo,maji na sabuni Madame B akajibu ni kufua,that is a wrong answer,jibu ni loweka/kuloweka.Naomba mwongozo. Click to expand... Mtu mwingine anaweza akajibu tena swali ambalo hakuridhika na jibu lilotolewa
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Oct 12, 2012 Thread starter #22 Wi-Fi said: kupiga rivasi. Kitendo cha kuaribu keyboard kwa kuikanyagakanyaga! Click to expand... tbs na bidhaa feki. Kutoa samaki majini kwa kutumia nyavu au ndoano
Wi-Fi said: kupiga rivasi. Kitendo cha kuaribu keyboard kwa kuikanyagakanyaga! Click to expand... tbs na bidhaa feki. Kutoa samaki majini kwa kutumia nyavu au ndoano
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,599 Oct 12, 2012 #23 Wajad said: tbs na bidhaa feki. Kutoa samaki majini kwa kutumia nyavu au ndoano Click to expand... vua, opoa tembea taratibu pasipo vishindo...
Wajad said: tbs na bidhaa feki. Kutoa samaki majini kwa kutumia nyavu au ndoano Click to expand... vua, opoa tembea taratibu pasipo vishindo...
DaJane JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 223 Reaction score 622 Oct 12, 2012 #24 watu8 said: vua, opoa tembea taratibu pasipo vishindo... Click to expand... Kunyata. Tweta kwa hofu....
watu8 said: vua, opoa tembea taratibu pasipo vishindo... Click to expand... Kunyata. Tweta kwa hofu....
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Oct 12, 2012 #25 Junior. Cux said: kuna mtu kakuibia password kaka au ni we mwenyewe??? Click to expand... Junior. Cux msaidie Eliah G Kamwela kui-delete hiyo post yako basi. maana yake kaifuta ila hana mamlaka kufuta yako, please Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Junior. Cux said: kuna mtu kakuibia password kaka au ni we mwenyewe??? Click to expand... Junior. Cux msaidie Eliah G Kamwela kui-delete hiyo post yako basi. maana yake kaifuta ila hana mamlaka kufuta yako, please