mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
mia mia
Alishindwa Kaburu Botha na De clerk itakuwa nyie?
Asingekubali kwenda leaders kuzungumzia mgomo. Halafu hawakuelewana maneno gani?
Kuna kitu hapo!
Wewe nani mpaka unaamuru thread ifungwe? Hebu tupishe huko sie,mmeshindwa mlilokusudia,mwisho wa ubaya aibu.kwa mwenye ushahidi wa uhakika aupeleke polisi au aongee na vyombo vya habari. tuache unafiki.
MOD: FUNGA HII THREAD!!!!!!!!!!!!!! HATUWEZI KUJADILI SWALA BASING ON RUMOURS / TETESI
mungu hakutaka ulimboka afe ili unabii utimie
To make your story total and complete add this!!1. Afsa aliyekuwa naongea naye alimchukua alimuita kando akiwa hapo LEADERS CLUB! Na Ma Dr wenzake usiku huo.2. Baada ya kutoonekana wenzake hapo Leders Club waliwasilina na Watu wa haki za binadamu na kuwajulisha.3. Ma Dr wenzake this time wakina na Hellen Kijo Bisimba ... (manomuona hapo kwenye picha za DR ulimboka)... waliondoka na kwenda kuripoti kwenye vituo kadhaa vya polisi.4. Polisi wote walisema hawana taaarifa ya mtu kama huyo na walishauriwa kurejea subuhi .5. Asubuhi wakapata taarifa toka kituo cha polisi cha Tegeta kuwa ameletwa na wanchi waliomuokota njiani...6. Source ... Hellen Kijo Bisimba ...Mwanaharakati ...!!!
Mbona Field Marshall John Okello aliweza? Mshukuru Mwalimu Nyerere kwa kumpa hifadhi Sultani Sayyid Sir Jamshid bin Abdullah Al Said akiikimbia Zanzibar mwaka 1964.Alishindwa Kaburu Botha na De clerk itakuwa nyie?
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
Daah yaani ikulu ihusike na upuuzi huu huyu dr ni kainzi tu na hii cyo move ya serikali jamani mko dunia gani nyie cku hz kuna teknolojia km serekale ingetaka kumuondoa kiulaiiiniii angeondoka na ingekuwa poa tu mnaleta za abunuasi hapa