mr.dominick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 244
- 29
Ajitokeze mtu upande wa wanasiasa na wana-ccm atoe hoja za ni kwa nini huduma za afya zisiboreshwe sambamba na maslahi ya watumishi wa sekta hiyo kuboreshwa kama wanavyodai madaktari; kisha na mimi nitapinga kwa kuweka sababu za uungaji wangu mkono wa mgomo wa madaktari II
Kuna watu wanapotosha kwa makusudi suala la mgomo huu. Wanatoa cheap and inconsistent reasons as if madaktari ni wakatili, wabinafsi na vitu kama hivyo. Lakini hawajiulizi uhalali na mazingira ya madai ya hawa madktari. Hawataki kufikiri kuwa kwa huduma hizo mbovu mamia ya watu wanakufa kila kona systematically.
Zomba na wenzako kweli mtakuja juta kukubali kuuza nafsi (human integrety) kwa mlo wa siku chache.
naandika haya kwa hasira na machozi yakinitoka kama kweli yupo mungu wa eliya mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo hii serikali inatakiwa kung'oka madarakani kwa nguvu ya umma mapema iwezekanavyo haiwezekani kila sauti itakayonyanyuka kutetea wanyonge wao wanaizimisha. Kwa hili hatuwezi kulikubali hata kidogo. Watanzania kama mtalinyamazia hakika damu ya watu hawa itakuwa juu ya vichwa vyenu na uzao wenu. Yuko wapi captain kombe? Wapi horas kolimba? Sokoine na wengine?
Extremely valid observation ...!!This is old communist style(tactics) hivi kweli dunia ya sasa unaweza kufanya vitu kwa staili hii ya kizamani ?huwezi kufunga mtu mdomo kwa kutumia mbinu hii ya kizamani dunia iko macho na mambo hayo ya kibabe ya kizamani hayakubaliki
CHADEMA mkizembea hapa hamtakaa mchukue nchi hii tena,chukueni nchi hii kesho kwa kutanganza maandamano yatakayoanzia Muhimbili kwenda ikulu moja kwa moja.hawa wagonjwa ambao wako ikulu sijui na wapi huko tena,waje Muhimbili walazwe wawe chini ya senior psychiatrist Hogan kwa matibabu zaidi
Very bad idea. Nimeshangaa watu pia wameipenda hiyo comment yako! Fikiri zaidi... Hasa uki-refer huko Syria na kwingineko!Kama hali ni hii basi wananchi wote wake kwa waume kesho tuanze kukusanyika viwanja vya JANGWANI(TAHIR SQUARE) kuanzia saa 2 asubuhi ili kuilazimisha serikali iliyo madarakani kujiuzuru....Hii ni nchi yetu wote.
Mbona hili wala sio siri tena ... Jamaa alimpigia simu wakamalize maongezi LEADERS CLUB!!! Ulimboka akaondoka na Rafiki yake mmoja! Wakati wanongea na huyo Jamaa hakueelwana ...
Jamaa akapiga simu kwa hao wanjeshi walikuja kumburuza na kumchukua ... wakamuacha Rafiki wa ulimboka na huyo jamaa mwingine kwa kusema hatuwahitaji nyie tunamuhitaji Dr Ulimboka ....!
Rafiki wa Ulimboka ... Akapiga simu kwa waaharakati wa Haki za Binadamu ..Hellen Kijo Bisimba at al .. na usiku huo wakaanza kumtafuta na kuripoti vituoa mbalimbali vya Polisi ...lakini Kila kituo wakidai ... hamjui huyo mtu .... labda waje asubuni .... na subuhi? Wapata habari toka kituo cha polisi tegata .... kaokotwa mtu ....blabalahhhh!!
Source. Hellen Kijo Bisimba!!