Hahhaha yaan nilichomaanisha na mambo zake rrondo mana naye ni mwingi wewe ndio atakuweza huoni mpaka anakuogopa wakunyumbaHaniwezi kwa uoga huo wakunyumba nikianza kusalimiwa si ataniacha bar huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna muda nikienda sehemu sigeuki wala siendi washroom maana nitakutana na mtu na sitaki kumkera niliekaa nae.
Eiish sa mi sio mwingi jamani basi tu najuana na watu.Hahhaha yaan nilichomaanisha na mambo zake rrondo mana naye ni mwingi wewe ndio atakuweza huoni mpaka anakuogopa wakunyumba
Si ndio kujuana na watu kwako unamuogopesha yaan ukiwa naye atakuwa mdogo kama piritonEiish sa mi sio mwingi jamani basi tu najuana na watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kwanza mi muwazi ntamtambulisha kwa marafiki zangu ili awe na amani.Si ndio kujuana na watu kwako unamuogopesha yaan ukiwa naye atakuwa mdogo kama piriton
Mmmh huyo anaonekana wale wanaume wa sheria sheria halafu sio waelewa yani hawezi kukuona na mtu akaamini ni marafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji3][emoji3][emoji3] wakunyumba nataka RRONDO awe shemeji yangu jaman yaan nitafurahi sana
Ni kweli kabisa, mwanamke kila hatua mbili anajuana na mtu, nitamuacha njiani!Siendi kila bar kwanza. Kwingine naendaga tu ila kujulikana haikwepeki hata sehemu ambazo sijaenda kabisa siku nikienda lazima nikitane na mtu tunajuana. We hufai kutoka na mimi maana utanikimbia mezani ukiona navyosalimiana na watu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] wakunyumba nataka RRONDO awe shemeji yangu jaman yaan nitafurahi sana
Sio hivyo, kujuana na watu sio issue ila ikizidi inaboa. Huwezi kuingia sehemu mwanamke anamjua kila mtu. As if ni member wa kila Bar maarufu mjini.Mmmh huyo anaonekana wale wanaume wa sheria sheria halafu sio waelewa yani hawezi kukuona na mtu akaamini ni marafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mtu akinisalimia nimchunie? Si unafki huo kuwa naongea nao ukiwa haupo ila ukiwepo najitia siwajuiNi kweli kabisa, mwanamke kila hatua mbili anajuana na mtu, nitamuacha njiani!
Mimi maneno matupu, huyo simuwezi. Inatakiwa atoke na mwanaume fulani zoba hivi, mjanja lazima kiwake!Hahah yaan rrondo we ndio utakaemuweza
Kusalimia haki yako, shida ni pale kila mtu unamjua wewe.Sasa mtu akinisalimia nimchunie? Si unafki huo kuwa naongea nao ukiwa haupo ila ukiwepo najitia siwajui
Hamna mtu anaemjua kila mtu hapa mjini labda bar za Koromije hukoSio hivyo, kujuana na watu sio issue ila ikizidi inaboa. Huwezi kuingia sehemu mwanamke anamjua kila mtu. As if ni member wa kila Bar maarufu mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utamuacha njianiMmmh huyo anaonekana wale wanaume wa sheria sheria halafu sio waelewa yani hawezi kukuona na mtu akaamini ni marafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ni kweli kabisa, mwanamke kila hatua mbili anajuana na mtu, nitamuacha njiani!
Kuna thread nyingi humu kuhusu urafiki wa mwanaume na mwanamke......wengi wanaamini hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke....mbuzi na simba hawawezi kuwa marafiki itafikia kipindi simba atamla tu huyo mbuzi!Mmmh huyo anaonekana wale wanaume wa sheria sheria halafu sio waelewa yani hawezi kukuona na mtu akaamini ni marafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naanzaje sasa kumjua kila mtu? Kwanza mi sisalimiagi mtu mpaka anianze labda awe ni mtu tuna ukaribu sana zaidi ya hapo mchuno mwanzo mwishoKusalimia haki yako, shida ni pale kila mtu unamjua wewe.
Hahahhaha kumbe we maneno matupu eenhMimi maneno matupu, huyo simuwezi. Inatakiwa atoke na mwanaume fulani zoba hivi, mjanja lazima kiwake!
Zoba ndo mshamba sasa ambae anadhani kila uanemsalimia mna kitu. Mwanaume anaejiamini mbona hamna shida. Maana namsalimia mtu na nakutambulisha kama we ni bwana angu nasema kama rafiki nasema.Mimi maneno matupu, huyo simuwezi. Inatakiwa atoke na mwanaume fulani zoba hivi, mjanja lazima kiwake!
Wapo wanwake maarufu namna hio, anamjua kila mtu sehemu za starehe. BTW hao 'kila' mtu ni wale 'wenye bar' mfano pale 777 wapo wenye bar yao.Naanzaje sasa kumjua kila mtu? Kwanza mi sisalimiagi mtu mpaka anianze labda awe ni mtu tuna ukaribu sana zaidi ya hapo mchuno mwanzo mwisho
Mimi debe tupu.Hahahhaha kumbe we maneno matupu eenh
Ni wale waoga/wasiojiaminiHahahhaha kumbe we maneno matupu eenh