Yalikuwa ni maisha magumu sana lakini ambayo unapata vitu vya msingi bure tena vya first class!Kumbe elimu na naarifa yote umeyapata pale. Nasikia hawaamini uwepo wa Mungu. Mungu wanamuumbia kwenye akili zao. Mshana wewe ni kiboko, ULIWEZA?? Basi hapa duniani hakuna maisha yanayokushinda. Mimi ningekaa siku moja tu na kufukuzwa.
Taekwondo?Yes
Kung fu..!
Karate
Tai chi🔥
💯%Asante lakini hayo ni mambo ya supernatural natural powers halafu Buddhism sio kwamba ni% sect moja tu lazima uelewe hivyo
Ni sawa na leo hii umuulize msabato sala ya Bikira Maria halafu akuambie hajui na kukimbilia kumhukumu
👊🔥🔥🔥🔥🔥Soma Lobsang Rampa.