Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,843
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo hiyo level ya enlightment ukifika ndo unakuwaje? Na je kuna wengine waliofika hiyo level tofauti na huyo mkuu???
Utawezaje kuamini katika nafsi then uabudu miungu? Kind of confusing
Level ya enlightenment ndio ya juu kabisa na hakuna mwingine aliyewahi kuifikia
Ni kweli inachanganya lakini wao wanasema ukiangalia ile sanamu ya Buddha ni kama unajiangalia inners elf ni mkanganyiko wa kiimani