A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Sijawasoma sana ama ni almost kabisa.. Je una lolote juu yao?
Mkuu mshana jr, bachela umesoma humanities, umekuwa ded wilaya x kusini, unajua kichna zaidi ya kisukuma na unaish near standi ya kwenda y?
Kama sio wewe huyo mtu unamfaham.
 
Mkuu mshana jr, bachela umesoma humanities, umekuwa ded wilaya x kusini, unajua kichna zaidi ya kisukuma na unaish near standi ya kwenda y?
Kama sio wewe huyo mtu unamfaham.
Mkuu Statistics kuna baadhi ya hayo ni sahihi.. Huyo mtu namfahamu ni classmate wangu tulisoma wote South then Taiwan na kwenye picha ya juu kabisa tupo wote
 
Watawa Wabudha wamefukuzwa kutoka hekaluni kwao Thailand baada ya wote kuthibitishwa kuwa na methamphetamine‼️😳
 

Attachments

  • 20221203_125633.jpg
    20221203_125633.jpg
    259.2 KB · Views: 48

HISTORY OF Africa Buddhist Seminary​

African Buddhist Seminary (ABS) (a non-accredited religious educational institution) is part of Fo Guang Shan, an international Buddhist organisation with headquarters in Kaohsiung, Taiwan.

ABS, which is adjacent to the Nanhua Temple in Bronkhorstspruit, South Africa, began recruiting students in October 1994, to realize the compassionate vow of Venerable Master Hsing Yun, the Founder of Fo Guang Shan:
"Let us bring the Buddha's Light to the Three Realms, so that the Dharma waters may flow throughout the five continents”.

By 2011 nearly 300 male students (from South Africa, Namibia, Zimbabwe, Swaziland, Lesotho, Botswana, Malawi, Tanzania, Madagascar, Brazil, Israel, Congo, Kenya, etc) studied Buddhism, Chinese Language, Meditation, etc, in a 2 to 3-years-long free Monastic Residential Course at the seminary. Some of the graduates became ordained monks with the FGS parent organisation in various countries, and some are working as civilians in various jobs at Nanhua Temple, or other FGS Temples in South Africa,Malawi, etc, often as English/Chinese translators... Majority returned to their home countries to continue with a civilian life and jobs, their lives undoubtedly enriched by the training they received here.
a550d4edde84c531ac4feff4c24ec6b3_715__2.jpg
2269239_orig.jpg
2557426.jpg
 
Kwenda selo haikuwa ishu sana ishu ni kwamba hatukuwahi na documents zozote kama passport nk kwakuwa kila kitu kilikuwa kinashikiliwa na uongozi wa chuo
Hivyo ikabidi kila mtu afe kivyake asikamatwe, jamaa yetu mmoja walivamia choo akajifanya ni mhudumu wa choo, akalivagaa sink na kinyesi chake mzungu akamuacha wawili waliruka ukuta lakini walikatwa vibaya sana na vioo vile vinavyochomekwa juu ya ukuta lakini wakasalimika, mimi niliingia kwenye pipa la maji lililokuwa na Maji nusu....imagine baridi ya South halafu uzame kwenye pipa la maji baridi
Hali ilipotulia tuliondoka salama lakini nikiwa natetemeka hasa kwa baridi na mwenzangu akiwa ananuka kinyesi tupu, wale wenzetu wawili walifika mapema na wanaingia salama bwenini nasisi pia vilevile, tuliwatibia usiku ule ili damu ikate asubuhi wawe parade bila mabandage..ni kitu kigumu mno lakini walihimili
😄
 
Kumbe elimu na naarifa yote umeyapata pale. Nasikia hawaamini uwepo wa Mungu. Mungu wanamuumbia kwenye akili zao. Mshana wewe ni kiboko, ULIWEZA?? Basi hapa duniani hakuna maisha yanayokushinda. Mimi ningekaa siku moja tu na kufukuzwa.
 
Back
Top Bottom