For instance katika inchi yetu hii ya Tanzania... Ni wazi kua CCM wana mashina ya mizizi ilofika to the core of the earth crust.. Wako powerful na the only opponents they are wary of ni from within the party kuliko wa nje... Wapinzani wana support kubwa ya wanachi kwa midomo... Vijiweni... Kwenye magazeti... vyomba vya habari na institutions mbali mbali. Sad thou kua support hio huishia hapo!
Matendo sie yametushinda kabisa! Kila mmoja wetu ajua kuponda, kulalama na kukosoa.... Ingia sasa nawe kama Mtanzania kuonesha uzalendo kwa kutaka change.... Unasepa; And you say kua kutakua na mabadiliko? I wonder... Na the next uchaguzi Jmushi I gurantee.... mshike mshike nguo kuchanika!
Painfull but definetly the truth!
Ndo watanzania tulivyo, pia nimegunduwa tuna mentality ya kuona kama umasikini ni utamaduni ama jadi zetu, na kwamba kuna watu walizaliwa ili watutawale hata kama wanayofanya ni madudu.
Kuna baadhi ya culture zetu tunaziendekeza, lakini chimbuko lake ni umasikini, na inapotokea tukashindwa kutofautisha kati ya yale ambayo ni culuture vs yale ambayo ni umasikini.
Nimegunduwa kuwa umasikini ni cluture ambayo tumeiendekeza na hivyo kushindwa kujuwa pa kuanzia kujikomboa.
Kwa upande mwingine pia, wananchi walio wengi wanadhani serikali ni ya kutoa amri tu na kuhakikisha usalama wa nchi, hawajui kama kuna connetion kati ya umasikini wao na viongozi wanaowatawala.
Couple that with the fact kwamba kwanza hatuna culture ya accountability, na pia mwalimu himself was poor materialwise ,then hilo kisaikolojia bado halijawatoka watanzania wengi, na hilo bado linaonekana kama ni jambo jema, lakini amabacho hawaji ni kuwa sasahivi viongozi karibia wote ni matajiri na utajiri huo weni waliupata wakiwa viongozi ofisi za umma walizokabidhiwa trust na wananchi ya kuzilinda rasilimali na kuhakikisha zinatuletea maendeleo nk.
Kwa kumalizia, binafsi ninaamini ni system yetu imetufanya tukawa hivyo, utawala ni kama tu wa kikoloni na kilichobadilika tu ni ngozi kwenye uongozi wa juu nk, but matendo almost the same kama yale ya mkaburu dhidi ya wananchi kwenye kuanzia kutumia nuvu za dola pamoja kubeba rasilimali nk, yani ukandamizaji na kuhakikisha watu hawana knowledge ya kutosha, kwafanya wajione hao ni masikini na hawana kitu chochote kama wasipo omba omba, watu wa "ewala bwana" pamoja na unyenyekevu na nidhamu ya woga ili kulinda "Amani"
Na kwamba utulivu wao na uvumilivu ndo njia bora kwa wananchi, ukichanganya na mazoea ya umasikini na kuu confuse na utamaduni, basi inakuwa shida tupu!
Ninaweza kukuwekea tamaduni nyingi sana ambazo tunazienzi lakini bado zina asili ya umasikini na lack of knoweldge!
Ninakuhakikishia AshaDii kuwa despite the fact kwamba ninakubaliana kuwa tatizo pia liko kwa wananchi, bado pia ninaamini kuwa matatizo yetu hayo na jinsi tulivyo vimechangiwa sana na watawala wetu na system.