A cheap labour in Administration

A cheap labour in Administration

But umesema unatafuta uzoefu among other things mkuu, sio padogo hapo. Usichague ujira we jizire tu. Nina mfamo wa jamaa yangu aliyeanza kulipwa laki mbili somewhere & ni ofisa mkubwa sana now Amnesty International.

ninaelewa unachosema mkuu ,niko katika nafasi hata ya kuvolunteer,kwa vile mdau alinihitaji nitaje kiasi hapo ndipo nimeanzia,lakini sina shida kwenda chini ya hapo,nashukuru kwa ushauri!
 
Ndo tatizo letu vijana wasomi wa ss tunaexpectation kubwa kama hauna kazi hata laki ww chukua upate chanel ya kujuana na watu huko c minimum 450 mm kuna my friend alikuwa anachukua 250 na ni electrical engineer na magari mawili kwa siku no gain without pain bro kwa ss keshasahau ww pspa watu wanakaa mtaani miaka mingi unaleta jeuri tafuta kazi without great expectation
 
jeuri hapo hauko sahihi sina jeuri,mwenyewe nazijua changamoto zilizopo,
nimehitimu shule muda mrefu na ninatafuta sehemu japo ya kujitolea,nimetaja hyo pesa na ninaweza kupokea hata chini ya hiyo!!!
 
Back
Top Bottom