A&A Computers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A&A Computers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ndagabwene, Oct 18, 2012.

 1. n

  ndagabwene Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine vingi.Hawa jamaa nilipeleka laptop yangu mpya wanibadilishie program lakini hawa jamaa wakaifungua na kufanya wanavyofanya wao mpaka mashine imehalibika kioo,nikawarudishia waitengeze,jamaa wamekataa kabisa kuwa wao wahahusiki na wangeitengeneza endapo ningenunua kwao.Naomba wanajamii kuweni makini na hawa jamaa kwani mashine imeharibika kabisa na kunitia hasara.Hawa jamaa wapo nchi mbalimbali lakini sio waaminifu.
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Sasa hii imekujaje hapa,si ungeifungulia thread yake?
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijakuelewa una maana gani angeifungulia thread yake?!???
  na ulitaka iwekwe wapi? maana humu ndo tech forums.

  Anyway, ndagabwene.
  umepeleka AA ya wapi? mi ya Arusha huwa nawakoromea maana naona nia kama wanafanya vitu kilelemama.
  kuna siku nimepeleka printer yangu, kumbe imeshapona muda kweli, lakini hawaniambii mpaka nipige.
  walinitambua, maana siku hizi wameanza kunipigia, na kuna colleague wangu amewahi niambia ukipeleka kwa mfano printer na wino wake, kuna hatihati.

  huwa naenda pale kwa shida tu, vinginevyo siwafagilii kivile.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  A&A ya wapi mkuu
   
 5. flovans

  flovans Senior Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chali yangu wewe utakuwa na pasono bifu zako tu.
  Kozi nahisi uwo ni mwanzo wa kuchafua business za watu.
  A&A computers ni watu ninaowaamini kwa miaka mingi kwa matengenezo ya vifaa vyangu na pia vifaa vyangu mimi hununua hapo.
  Huduma zao kwa wateja ni nzuri ukilinganisha na sehemu zingine ambako wahudumu huwa wazito hata kukaribisha mteja.
  Kama komputa yako ilikuwa nzima kwanini uliipeleka hapo.
  [FONT=&quot]Acha kelele za chura wewe, Bifu zako usiweke kwenye kazi za watu[/FONT]
   
 6. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45


  Kwa kweli me i beg to differ with you mkuu,mbona ni sehemu ambayo wanayoaminika sana,kwanza huduma zao zipo fasta na product zao ni genuine ukilinganisha na sehemu nyingine .

  Hapo kwenye blue mkuu ukisoma katikati ya mstari seems like uko fustrated or unapersonal beef kwasababu wao kazi yao kubwa wanashughulika na uuzaji na utegenezaji wa computers accesories how comes wakatae kututengenezea wakati ni moja ya kazi yao. Na kama umenunua kitu pale huwa wanatoa guarantee mwaka mmoja na kikiaribika under guarantee huwa wanatoa free maintanance.

  Na hapo kwenye green ni A%A ipi unaiongelea mkuu mana hawana mabranch nje ya nji branch zao zipo Arusha ,Mwanza na Moshi unazidi kunifanya niamini uko frustrated or you hv personal beef na sio vzr kuhusisha personal beefs zako na biashara za watu mana they work hard kufika hapo walipo.
   
 7. B

  Bolts New Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa sio mtu mzuri na angekuwa anahitaji kujua nini kilitokea zaidi angeenda A&A computers then afatilie kwa ukaribu kwanini ilikuwa hivyo na navyojua AA Computers wanawajali wateja na kuwapa nafasi ya juu kabisa kuliko kitu chochote
   
 8. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  your very first post????
  unaonaje username yako ungeliita A&A computers. umejiunga ili umkandie jamaa ambaye ameeleza kilichomtokea haswa?
  kwani amesema hakuenda huko? si anasema amekwenda na wamekataa kumrekebishia na wakakana kosa.??
   
 9. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani ungemprobe akupe maelezo zaidi ili ujue ni wapi mteja amekereka mkarekebishe, not the other way round.
  Kwa kukiusaidia hebu pitia hii link.

  btw, just for reference.
  bolt.jpg
   
Loading...