Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Nakaziayou nou ofcoz,akchuare sikwenda.but nilicome back kupick watoto,na kuwadrop nyumbani.
aisee kama unaongea hivi popote ulipo kmayo.
Julius Malema naye chenga kwa Afrika lugha yenye wazungumzaji wengi ni kiarabu sasa kivipi kichaguliwe kiswahili ambacho kimesambaa eneo dogo?
Nadhani kwa kuwa kiarabu kimefungamanisha na dini fulani ndio maana akapendekeza kiswahili.Julius Malema naye chenga kwa Afrika lugha yenye wazungumzaji wengi ni kiarabu sasa kivipi kichaguliwe kiswahili ambacho kimesambaa eneo dogo?
you nou ofcoz,akchuare sikwenda.but nilicome back kupick watoto,na kuwadrop nyumbani.
aisee kama unaongea hivi popote ulipo kmayo.
Kadri siku zinavyoenda lugha yetu adimu ya kiswahili inazidi kuchimbiwa kaburi.
Leo vijana wetu hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5 mfululizo, lazima aweke na neno au maneno ya kingereza.
Kwa vijana wa kike hali ni mbaya zaidi, wao imefikia hatua sasa hata kuongea kiswahili wanaona aibu, wanaona kama wanadhalilika na kuona kua kingereza ndio hadhi yao.
Leo wakati Julius Malema anahutubia wafuasi wake amependekeza Afrika kua na lugha moja na akapendekeza Kiswahili kiwe lugha ya Afrika.
Cha ajabu njoo kwa watanzania, kiswahili kinazidi kupoteza mvuto kila kukicha, kuanzia kwa viongozi wakubwa hadi kwa wananchi. Kiongozi mkuu hawezi kuongea bila kutupia kingereza maneno mawili matatu.
Siku sio nyingi Tanzania tutakua kama Kenya, neo moja la kiswahili matano ya kingereza.
Ni lazima zifanyike jitihada za maksudi kuhusu hii lugha vinginevyo itapotea.
yeah mtuvumilie tuuUko sawa kabisa. Yaani mtu kuongea kiswahili bila kuchanganya kiingereza hawezi na kuongea kiingereza bila kuchanganya kiswahili hawezi. Kwa hiyo mbumbumbu wa lugha zote mbili!
Ni kile chenye sentensi yenye Kiima,Kiarifu,kishazi huru&tegemezi na usisahau lazime awepo fanani na hadhira.Sijasoma mada mpaka mwisho, labda nijuzwe kiswahili fasaha ndiyo kipoje
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah mtuvumilie tuu
Naamyou nou ofcoz,akchuare sikwenda.but nilicome back kupick watoto,na kuwadrop nyumbani.
aisee kama unaongea hivi popote ulipo kmayo.
yeah mtuvumilie tuu
Mfano, Oya mwana njoo nyumbani... Hiki sio sanifu??Ni kile chenye sentensi yenye Kiima,Kiarifu,kishazi huru&tegemezi na usisahau lazime awepo fanani na hadhira.
Akiambiwa ateme yai mwanzo mwisho hawezi.Kiongozi mkuu hawezi kuongea bila kutupia kingereza maneno mawili matatu.