chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,962
Wao wanasema black lives matter, hata polisi wakiwa waadilifu still black life won't matter Sababu 93% bado watakuwa wanauawa hovyo.Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
Unajua Gangs za hapa America zinavyoua watu kila siku? Kabla ya mauwaji ya Mr Floyd kuna bibi wa kizungu alikuwa zake cemetery anaomboleza wakaja black gang wakamuharas na hatimae wakam-shoot.Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
Kweli kabisaHaiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
ncarceration by race and ethnicity[edit]Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
2010. Inmates in adult facilities, by race and ethnicity. Jails, and state and federal prisons.[59] | |||
Race, ethnicity | % of US population | % of U.S. incarcerated population | % of racial group |
White (non-Hispanic) | 64 | 39 | 0.45 |
Hispanic | 16 | 19 | 1.1875 |
Black | 13 | 40 | 2.306 |
Asian | 5.6 | 1.5 | 0.21 |
No, statistics ndio chanzo Kikuu Cha kwanza, Ila Kuna ambao haawaamini hata statistics wao Kila kitu Ni conspiracy, nikasema Hawa wajaribu kufuatilia habari, au culture life ya blacks kupitia vitu hivyo au asafiri mwenyewe aende Marekani akafanye utafitiKwahiyo kuangalia movie na series ndio ukapata na majibu ya uwakika kabisa kuwa black kwa black ndio wanauwanamkuu we ni hatari zaidi ya FBI
Kweli, lakini Kuna Blacks ambao Wazuri tu wapo dedicated kuwalimisha wenzao kuhusu attitude za hovyo na uhalifuAm not supporting what's happened lakini blacks wanahitaji msaada wa ki saikolojia au kimaadili kutokana na ukatili waliofanyiwa mda mrefu kwasababu kweli ni watu wa mazoea ya uhalifu
Matokeo ya mfumo wa kibaguzi ndo sababu ya uhalifu wa wamarekani weusi, watu Kama wananyimwa fulsa unategemea NiniUnajua Gangs za hapa America zinavyoua watu kila siku? Kabla ya mauwaji ya Mr Floyd kuna bibi wa kizungu alikuwa zake cemetery anaomboleza wakaja black gang wakamuharas na hatimae wakam-shoot.
Lots of black people ambao wamezaliwa kwenye blue states ni gang members .
Ni matokeo ya mfumo wa kibaguzi kuanzia 60's kurudi nyuma mpaka 1880's walibaguliwa sana na kuteswa "ukipanda uharibifu utavuna uharibifu"Weusi ni wabaguzi sana
Yote hayo yanafahamika, na ni kweli umelewa propaganda za Wazungu! The problem unachanganya kati ya mauaji yanayofanywa na maharamia na yale yanayofanywa na vyombo vyenye wajibu wa kuzuia mauaji yasitokee!Mnaweza mkadai ni propaganda za wazungu kupakazia weusi lakini kama wewe ni mfuatiliaji wa habari, culture na lifestyle za weusi Marekani, kupitia shows, documentary, hata movies, hip hop na series mbalimbali ambazo zipo based on black life utakubaliana na hizi takwimu.
Ila inaharalisha kufanyiana unyama???Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
Weusi ni wabaguzi sana