90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?

Ofisini sio mahabusu, ukiona taasisi ambayo wafanyakazi hawazungumuzi, hapana tija hapo ni kama wanabahatisha kazi. Mahala pa kazi mazungumuzo ni nyenzo ya utendaji katika kazi.

Na nyie mnaofikiri kazi ni kukimbiakimbia na mafaili ndio hamzalishi. Wewe ukiona wanaongea pamoja roho inakuuma unafikiri ni soga kwa sababu haujui kazi yako, mzembe, hauna kasi muda wote uko bize hauna tija hata mtu akitaka kukuuliza au kukuelekeza jambo unadai uko bise atakuchelewesha matokeo yake, output zero na siku zote watu wanakuona uko bize.
 
Ila kiukweli walimu wanakula mishahara ya bure mi naona wapunguziwe tu...
Kipindi tunafika advance mwalimu wa Geography alifundisha Map reading tu akapotea mazima,walimu wanaojitoa kwa moyo wote ni wachache sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Akuna mshahara wa bure,mwajiri wake ndiye anapaswa kumsimamia huyo Mwalimu ili atimize majukumu yake ya kufundisha,Sasa mwajiri kila yuko ulaya kula bata kisingizio cha kuomba misaada na mikopo kitu ambacho kingefanyika hata ukiwa hapa nyumbani uku ukisimamia kwa ukaribu wateule wako watimize majukumu mliojipangia.Mwanadamu yeyeto pasipo usimamizi hawezi fanya chochote, shule za private zinafanikiwa kwasababu waajiri wao wanawasimamia vizuri.
 
Hao wafanyakazi wamekizi vigezo vya waajiri wao na wanapaswa kuongezwa mshahara kulingana na hali halisi ya maisha. Kama hawafanyi kazi ipasavyo, waambie waajiri wao wawawajibishe ila sio kuwapa mazingira magumu ya kufanya kazi.
 
Hakuna kitu, hawataki waache
 
Mleta mada una hoja kubwa sana ila utapigwa mawe kweli kweli kwa kusema ukweli. Serikali inatakiwa kubaki na 40% tu ya wafanyakazi. Mfano receptions wote waondoke. Masekretary hawana tija fyeka wahasibu bakiza 20% tu na kada nyingine. ICT ina solutions nyingi kwa sasa. Unakuta mtu ameajiriwa kwa wiki mzima kuandika barua mbili ambazo na zenyewe ni hovyo. Nakuunnga mkono 1000% . POVU RUXAAAA
 
Mleta mada tunaomba copy ya Barua kutoka of ya Takwimu ikiwa imesainiwa na Muhusika, ama wakala yeyote wa serikali anayeruhusu kufanya utafiti.

Lengo tujiridhishe kuwa kweli ukifanya utafiti huu na umepata matokeo haya uliyoyaweka kwenye bandiko la kwanza la uzi huu.
Maana kuna wengine, wenge likizidi wanaandika mambo ya ajabu ajabu. Kwa hiyo, jitenge na watu wa ajabu ajabu kwa kuleta barua ya ruhusa ya kufanya utafiti.
Muulize mkaguzi mkuu wa zamani Prof Musa Juma Assad

Assad alishasema inatakiwa watumishi wa uma wengi wawe washout,

Capability ya watumishi wengi ni ndogo sana
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Kwa vigezo vipi?, Maana kuna viongozi wao, na pia kuna tool maalum za kufuatilia ,kama wanazembea alafu hawaonekani basi kuna maali wenyewe wamelegalega.
 
Kwahiyo wewe huwa unatembea nchi nzima kila siku saa 1 :30 hadi saa 9:30 kwenye ofisi za serikali na kuwakuta wakiwa wanapiga soga?
 
Hao jamaa huwa wanaboa sana na wanajiona special sana, umeandika facts, pia sioni kazi ya wakuu wa mikoa na wilaya maana wapo kisiasa tu kama una RAS na DAS, tupunguze matumizi mabaya ya Serikali
Unganeni na Serikali kuwapiga pin hakuna salary increase zaidi ya serikali ilichowapa..
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Mnalipwa sh ngapi kufunika hili la 23%
 
Ubovu wa huduma unaanzia kwa watawala maana wamejaa porojo tupu na kulipana posho bure, wabunge wanafanya kazi gani mpaka walipwe pesa ndefu? kugonga meza nayo ni kazi? tufumue kwanza huu mfumo ovu wa kulea wavivu kuanzia juu kushuka chini
Una wivu wa wabunge

Hujui wabunge ndo wanaotunga sheria, na kusimamia bajeti husika kupitishwa
 
Katika nyakati nimrkudharau ni wakati huu, nyie ndio wale ambao hamjawahi kuwa na shukra, eti hatuna maendeleo tangu uhuru wakati nchi nzima ina barabara za rami, hospitali mikoa na wilaya zote nk. Kama umetumwa ili wafanyakazi tumchukie Mama umenoa, tunamoenda tu hata asipotuongezea lakini katupa uhuru tunaongea .Umetushindwa .
 
Haya, basi wafukuze kazi wote! Au mshahara wanaolipwa ni wa kupiga soga ofisini?
 
Mkuu

Hilo mmegundua Baada ya 23.3% kufeli!!?

Hebu imba WIMBO HUU na uache uzuzu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!

"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!
 
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?

Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru sana, Tunaoenda kuumia na kulipia hiyo gharama ni sisi wafanyabiashara na wakulima, Zigo la kodi kulipia hiyo nyongeza ni kubwa sana, Ni zaidi ya mabilioni yameongezeka kwenye bili ya mshahara kwa serikali, Zigo linahamishiwa kwenye kodi ya sisi wakulima na wafanyabiashara ili tulipie gharama hiyo ya nyongeza ya mishahara

Kada ya utumishi wa serikali inaongoza kwa kuwapotezea muda wakulima na wafanyabiashara wafikapo kufuata huduma, Wafanyakazi wa serikali hamjali muda mnaotupotezea muda, Tutazalisha saa ngapi ili kodi ipatikane na Nyie mnufaike?
Wafanyakazi wa Serikali mlipoambiwa Fedha za ndani zinajenga nchi,mlifikiri zinatoka wapi? Ni sisi wafanyabiashara na wakulima tulibanwa koo kwa kabali kisawa sawa kwa kulipishwa kodi kuwezesha miradi ya barabara, Flyovers na vituo vya afya

Mtu anasema nyongeza ni ndogo, Unataka nyongeza kubwa kwa kazi gani ya maana unayofanya Jumatatu mpaka Ijumaa ofisini, Ofisi nyingi za serikali siku ya ijumaa ni kama haipo, Watu wanaunganisha ile muda wa kuswali ijumaa moja kwa moja nyumbani

Unataka pesa kubwa kwa masaa mangapi unayozalisha?

Unataka pesa kubwa kwa huduma gani bora unayatoa kwa wakulima na wafanyabiashara?

Ukiondoa kada ya Afya na ulinzi wa nchi na Raia, Wafanyakazi wa taasisi za serikali wamejaa nyodo, dharau na uvivu hasa akina Dada pale unapofika kuuliza huduma

Wengi ya wafanyakazi wa serikali wana uelewa mdogo sana bado hawajaelimishwa kuwa mishahara yao ni kodi za sisi wafanyabiashara na wakulima ukijumlisha na kodi toka wafanyakazi wa sekta binafsi

Ukifika ofisi za NSSF au Psssf kwa wazee wanaofuatilia mafao yao, Majibu ya wale akina Dada vijana na wale watoto wa kiume kwa wazee yamejaa dharau sana, Wanasahau kuwa bila kodi za wananchi wasingekuwa pale

Kwa miaka mitano iliyopita wafanyabiashara tumepigwa kodi za kutosha kuhudumia Flyover na mabarabara, Tumeumia kujenga shule na hospitali za kata

Je wafanyakazi mlipoambiwa Fedha za ndani mlijua zinatoka wapi? na ni nani analipa hizo kodi?

Ni muda muafaka wa wafanyakazi wa serikali kuelimishwa kuwa pesa za mishahara sio mikopo bali ni kodi za wakulima na wafanyabiashara

Hakuna Taifa linalolipa mishahara kwa pesa za mikopo, Bili ya mishahara kwa mwezi ni kodi zinazokusanywa toka kwa wakulima na wafanyabiashara

Mambo yafuatayo yasipokoma au kubadilika maofisini ni ngumu sana sisi wakulima na wafanyabiashara kuweza kugharamia nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali

1. Uvivu na dharau, Kuchart na simu huku unatusikiliza kwa sikio moja, Baada ya Kuchart utasikia ulikuwa unasema nini vile au Wewe Bibi, Mzee tuliishia wapi, Hapo muda wa zaidi ya saa moja la kuzalisha limepotea na Biashara yako Umefunga kwa muda huo

2. Lunch masaa zaidi ya moja, Bado mtu amerudi lunch anapiga umbea huku akiendeleza kula mezani masalia ya chakula yaliyobaki na kuyafungasha toka canteen au kwenye mgahawa, Hapo muda wa kuzalisha ulishapoteza

3. Habari za njoo kesho au njoo baada ya week mbili, Huwezi endesha biashara yako hapo unasubiri kibali cha manispaa au Halmashauri kwa siku mbili, Hakuna uzalishaji

4. Bosi amesafiri hakuna wa kuweka saini, Hapa unakuta ni saini ya mtu mmoja tu wa Mazingira ili kuruhusu biashara iendelee lakini utasubiri mwezi na kusimamisha uzalishaji wa biashara yako

5. Kaa pale Subiri wameenda kula, Tuna semina uje kesho, Hiyo ni semina isiyo na kikomo ambayo hawamuachi hata mtu mmoja wa kusaidia wafanyabiashara na wakulima

6. Faili lako halionekani, Tunatafuta tutakupigia simu, Hiyo ujue ndio kimoja, Ni Jibu wanalotoa ili uondoke ofisini waendelee na soga na umbea wa mitaani bila kujua tayari wamepoteza kodi ya serikali

Kwa staili kama hizi, Tutazalisha muda gani? Mapato yataongezeka kutoka wapi? Muda wa kuzalisha watu wanakupiga kalenda na danadana, Siku ya Mei mosi unasikia tunataka nyongeza Kubwa, Nyongeza toka kwa kodi ya nani?
Kwenye hiyo 90 percent, ondoa wa afya, kiukweli tunawaonea sana.
 
Back
Top Bottom