uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 776
- 2,404
Ukiachana na huko serikali lakini hata kwenye maisha ya kawaida usije ukajichanganya ukamkopesha pesa kizembe na ukamkopesha bidhaa utakuja kunishukuru. Kwa sababu hata akikudhulumu Huna kwa kumpeleka.
Mm mwaka jana nimeingiliwa vya kutosha. Hadi nikajiuliza hawa wafanyakazi wa serikali serikali huwa inawaleaje.
na nikajiuliza wenyewe wanajiandaje kuja kuishi mtaani na watu ikiwa wao sio waaminfu.
Na mwisho wa siku nikamkumbuka motivation speaker mmoja anasema hivi mfanyakazi wa serikali ni mtu mjinga ambaye hawezi kujitunzia pesa yake mwenyewe na ndio maana serikali inamtunzia pesa
Inasuburia ili akizeeka ndio impe.
Na mm nikaona ni kweli
Na hata serikali ikimpa hiyo pesa sio muda mrefu lazima ipotee halaka sana. Na abaki makalio matupu. kwa sababu hawana nidhamu ya kusimamia pesa. Na wakati mwingine inaweza ikawa ni laana unakuta na yeye alisha dhulumu sana enzi za ujana wake.
Na nilivyo kuja kufuatilia kumbe hawa wafanya kazi serikalini hata wao kwa wao huwa wanaogopana kwa sababu wanadhulumiana sana.
Ila tulibaki kujidanganyika sisi wa mtaana wa kuamini makoti yao na maneno ya kusema ohoo nafanya kazi wizarani.
Kiujumla hawa jamaa inabidi wawe wanakopeshwa na serikali tu kwa pesa zao wao ndio wanazo.