nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
^^
Si unakumbuka ilivo ngumu kutekeleza hekima alizosema ktk wimbo huo,
mf ubeti huu..
"..Jamani siku hizi mapenzi yameongopewa,
Siku hizi mapenzi yamekufa,
Mama yangu aliolewa kwa panga na mkuki, lakini wasichana wa Darisalama,
wanataka pesaaa,
Siku hizi kupenda tunaogopa, hata kutongoza tunaogopa,
...
^^
^^
Kiasi, we je?
^^
Duh majanga...Tanzania tu.
Daaaaaa... sasa kwanini umeukumbuka huu mwimbo muda huu?
eti baba enzi zenu Madame B ndo zilikuwa hivyo?
ngoja waje, life span ya hii thread nafikiri ni siku moja na nusu
^^
Ha ha haa kuna majibu ya Dk Remmy hapa kwenye asili ya muziki,anasema
"..Muziki asili yake wapiii,
Muziki ni wa nani,
Muziki maombolezoo,
Muziki ni fundisho,
Muziki ni wito,
Ukiwa na furaha utaimba nyimbo za furaha,
Ukiwa na huzuni utaimba wimbo wa masikitikoo,
Usinione nikiimbaa, ukadhani ninayo furaha,
kumbe ninayo huzuni moyooniii,
..."
NIMEUKUMBUKA KWA SABABU YA SENTENSI YA MWISHO hapo juu
^^
^^
Mama yako, anajua zile za Patricia mf.
Macho yanacheka,
Moyo unaliaa,
Nikimkumbukaa,
Wangu maridhia,
Kwa wake utulivu,
Macho yanacheka
Moyo unaliaa,
Mpenzi sikia,
Uache dhihaka..
(Niishie hapa, nyie mkaimbe za Diamond)
^^
Nilidhani ni dedication yangu....
^^
Nikupe dedication yako, lakini ya kale?
^^
Yes please....
^^
Ewe mrembo wa masika,
Kiumbe unaesifika,
Mwendo wako wa maringo,
Kiuno chako mviringo,
aaaa!
Leo ni siku yakoo,
Tuonyeshe uzuri wakoo,
Halaiki yote macho kwakoo,
Tuna hamu na huba zakoo,
aaa
Ndogo ndogo!
Wewe si kidogo!
Ndogo ndogo!
Akili yako i makini..."
(wimbo uliimbwa na Fundi Konde,lakini ulirudiwa baadae na Fadhili William ktk Bendi ya Them Mushrooms)
^^
hahaha thank youuuuu so muchhhhhh.... mwimbo unaendana na mie hivo hivo...
^^
Waoo! Basi mi nikuage, byee!
^^
^^
Waoo! Basi mi nikuage, byee!
^^
Bora muagane maana mmezidi.
Bora muagane maana mmezidi.