90% wanawake wametoa mimba

Vigezo na utafiti wa mwaka gani
 
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,

40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,

40% wamezaa nje ya ndoa zao,

80% wana watoto nje ya ndoa.

Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.

Source??
 
mwanaume hapo ndio mwenye makoxa kasababisha haya yote
 
Yes naikumbuka vyema...

^^
Si unakumbuka ilivo ngumu kutekeleza hekima alizosema ktk wimbo huo,
mf ubeti huu..
"..Jamani siku hizi mapenzi yameongopewa,
Siku hizi mapenzi yamekufa,
Mama yangu aliolewa kwa panga na mkuki, lakini wasichana wa Darisalama,
wanataka pesaaa,
Siku hizi kupenda tunaogopa, hata kutongoza tunaogopa,
...
^^
 

eti baba enzi zenu Madame B ndo zilikuwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…