90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!

90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!

Mimi nilimsubiri miaka Minne. Niliifanya Mission. Alipotoa tu aliambiwa mission accomplished na jua la umri wa ndoa lilikuwa linazama.
Iwe fundisho kwa wengine!!Msitumie hiyo kitu kama reverage!!
 
Hao wanawake wa aina iyo naamini Mungu alishaacha kuwaumba tena maana alijua watazingua tu kwa hulka zao.
 
Back
Top Bottom