Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Je bado kuna wanawake wanatumia 90 days rule?!
Kwa maana wakipata wa(m)penzi wanakaa nae siku 90 bila kufanya nae mapenzi/ ngono/matusi? !
Kama wapo nipeni triki zenu za sasa mana sisi wahenga tunazo triki za zamani
Ingawa hapa kuna dada ananiambia inasaidia kufanya uwe mtamu zaidi maana huku chini kuna-rejuvenate na kuwa kupya pia alitumia hizi juice therapy za matunda ambazo zinasaidia kuondoa harufu ya ukeni
Bado kuna wanaume wanamvumilia demu siku 90 ndio aje alale nae baada ya siku 90 (miezi 3?!)