90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!

90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!

Hahaha!, lakini Money P.

Chem chem yako ya ideas huwa haikauki kabsa!, you seem to be super creative. Sasa nimekupata vizuri toka kwenye ule uzi wako wa kuwa Celebrity. No wonder you're an Enterprenuer.
Hahahahaha
90 days rule mama sita
Na wewe unawapaga boys 90 days rule au one night stand?!
 
Hahaha!! Money penny anashughulisha ubongo wake ati.

Hebu namimi Ngoja nijaribu kuwa'creative,

"Nalendwa 2016 August 09 + Agust 09 Alisina" hapo umegundua nini..?
Unaongea na mimi Unaongea na JF?!
 
Siku tisini sawa na miezi mitatu.

Kama mahusiano yetu yatakuwa na changamoto ya umbali(distance)hilo la miezi mitatu kwangu linaweza kutokea,lakini kama tukaribu wote inakuwa ngumu kiasi flani.

Kubwa zaidi ni msingi wa penzi lenu ukoje na mnakubaliano vipi na mitazamo gani katika penzi lenu.
Mmmh haya
 
Hahahahaha
90 days rule mama sita
Na wewe unawapaga boys 90 days rule au one night stand?!

Hahah!, my dear am way past that..

Lakini hii ya 90 days rule naona bado ina apply to some. Nilimsikia talk show host Steve Harvey recently akiongelea hii, about not giving out a cookie for at least 90 days.
 
Doh majanga
Think like a man two
 
Back
Top Bottom