Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,617
- 59,750
Is there any documented evidence about these allegations??
Is there any documented evidence about these allegations??
Argentina ndiyo nchi mbaya sana kwa ubaguzi wa rangi. Katika nchi za bara la america ya kusini, ni nchi iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na weusi wengi. Lakini karne ya 19-20 walianzisha mipango ya kishetani kuua weusi kwa kutumia chanjo, vifungo vya maisha etc...mpaka kizazi chote cha weusi kikapotea.
Na ndiyo sababu hata sasa timu zote za kitaifa za soka za america ya kaskazini na kusini utakuta kuna weusi lakini huoni mtu mweusi katika timu ya taifa ya agentina.
Soma msg zote halafu utafahamu kwanini nimeandika hivo,sawa rafiki??... kumkataa padre mweusi kuendesha mazishi Norway haiodoi ukweli wa utafiti (scientific research) kwamba India, Lebanon, Bahrain, Libya, Egypt, Philippines, Kuwait, Palestine, and South Africa ndizo zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi dunani kwa sasa. Kunaweza kuwa na mabadiliko mbeleni huko kizazi kijacho ila kwa sasa hao ndio vinara!
Hahaha..Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Acha porojo. Kuna mambo ya kukaa kuongea wakati wa kucheza bao na kuna mambo ya kuongea sehemu kama hii. Tofautisha please.Mtu mweusi alizunguka dunia,hakutumia usafiri wowote,kwasababu alikuwa mrefu,mwenye afya,kwa kifupi katika Qur'an na hata Biblia,wametajwa hio mijitu mikubwa,ilikuwa ikivuka Bahari maji hayajavuka,unyao.
Jamaa yaani unaokota okota huna hata reference....unadhani tunacheza bao hapa na kunywa al kasusu..... Ongea kama msomi usidanganye watuKuna baadhi ya vitabu kwenye Biblia vilitolewa kwa sababu ziszojulikana(mimi sio mtaalamu wa Biblia)moja ya kitabu hicho ni kitabu cha Enock(enoch),kina historia kubwa ya ulimwengu huu.
Kabisa.KUNA UKWELI FULANI HIVI
Waarab ni watu wa hovyo sana wale watu! Inshort watu wa Asia ni wa hovyo sana! Sijui sisi tuliwafanyaga nini 😂🙌🏾Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
USA mtu mweusi anakuwa Rais..Urusi na USA hazimo?