Sio kweli mkuu mwarabu alifanya biashara ya watumwa na wanunuzi walikua wazungu hizo habar unazo leta ni matango poriWaliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.
"Waliobahatika" yani kwenda utumwani ni bahati..?Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.
Jomba tufafanulie kuhusu huu utafiti,... very funny unapinga tafiti za kisayansi bila kuleta majibu kinzani ya kisayansi pia. Hivi ukitembelea Dubai, Cairo, Delhi, Mumbai, Beirut, Manila, Tripoli, et. al. (I mean capital and commercial cities) ambako kuna mchanganyiko wa kila rangi unadhani utauona huo ubaguzi wa rangi? Utafiti umeenda chini kule kwenye grassroots kwa wananchi wenyewe.
Ni sawa na mgeni afike na kugeuzia Dar es Salaam halafu a-conclude Tanzania hakuna umasikini! Dah! Ni kwanini unahisi kwamba list imelenga kuzisafisha nchi za magaharibi? Hizo ni hisia zisizo na ushahidi wa kisayansi. Tatizo ni kwamba kile ulichotaman sana kiwe hakijakuwa - ndio kiini cha "kukataa matokeo".
Click Hio link, kaangalie Hio research imefanywa vipi, research haijafanywa Dunia nzima Bali nchi chache tu na majority Ni za middle east na Asia.... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Kaka huo msemo wa kiarabu sijui umetoka nchi gani ya kiarabu,bara Arabu ni kubwa wakiwa na tamaduni na mila tafautiWaarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Japan mtu mweusi anakubalila sana,nimejionea mwenyeweKwa japan mkuu nakataa.
Japan watu weusi wanakubalika sana.
Nchi za Wazungu hasa Marekani kuna makanisa ya watu weusi peke yao na Watu wazungu peke yao,...Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
Ahsante mwarabu wa Tabora kweli hamkufanya biashara ya watumwa.Sio kweli mkuu mwarabu alifanya biashara ya watumwa na wanunuzi walikua wazungu hizo habar unazo leta ni matango pori
Good analysis ...lkn mkuu if so kwann kizaz cha watumwa weus wote waliopelekwa masharik ya kati hakikuendelea kama tunavoona weus wa ulaya na marekan...pale umesema waarabu wanawakubali sana watu weusiiKaka huo msemo wa kiarabu sijui umetoka nchi gani ya kiarabu,bara Arabu ni kubwa wakiwa na tamaduni na mila tafauti
Katika hii listi Lebanon imetajwa kama nchi ya pili kwa ubaguzi(racisim),..
Sasa nikwambie kitu moja katika dhehebu kubwa la kiislam lenye nguvu baada ya Hizbollah ni dhehebu la Habshi
Dhehebu la Habshi lilianzishwa na mtu mweusi kutoka Ethiopia,huyu Sheikh alizunguka dunia akaishia Lebanon akanzisha Dhehebu laje
Warabu wa Lebanon wafuasi wa Habshia wanamtukuza Sheikh wao kama mtume
Ingia Youtube,peruzi Google kupata habari zaidi
Dini ya kiislamu inamtukuza sana mtu mweusi,katika kitabu cha Quran katika surah ya 15 aya ya 26,(alhijr 15:26), surah inasema ALLAH kamuumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi..
Kwakifupi Adam alikuwa mtu mweusi...
Wakati wa Mtume(saw),mtu anaeitwa Bilal ambae alikuwa mwafrika ndie alikuwa mtu wa mwanzo kuita sala(adhana)..
Hii list kuhusu Lebanon na Warabu haikukaa sawa,Warabu wanawakubali,Watu weusi,kuliko watu weusi tunavyojikubali
Tafakari
Waarabu walipeleka watumwa marekani? Hii mpya, hebu tuletee sourceAhsante mwarabu wa Tabora kweli hamkufanya biashara ya watumwa.
Madoni wa utumwa na biashara ya utumwa ni Misri, nchi za Mashariki ya kati ambazo ni waarabu, Ugiriki, Dola la Kirumi na Mesopotamia. Baadae sana baada ya kuvumbuliwa Americas ndio watumwa wakaanza kupelekwa kwenye mashamba ya miwa, pamba, nk huko Amerika ila aliyejihusisha na ukusanyaji na usafirishaji viarabu hususani hivi vya Oman
Nchi za Wazungu hasa Marekani kuna makanisa ya watu weusi peke yao na Watu wazungu peke yao,...
kuna hata mistari ya biblia inayosema mtu mweusi kalaaniwa..
Hakuna msemo huo.Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
ProveHakuna msemo huo.
Nawe prove huo msemo..... usiokote maneno ya vijiweni.Prove
Tafuta humu humu jf utaona mada yenye huo msemoNawe prove huo msemo..... usiokote maneno ya vijiweni.
India kuna wahindi weusi tiii,,tena kuliko blacks wa afrika.In some countries, people of many races, ethnicities, and nationalities are accepted and welcomed. Others aren't so lucky. Racism is a tough characteristic to measure. Many countries lack centralized tracking systems for racist incidents. Indeed, a surprising number of countries do not maintain track of its citizens' race and ethnicity, making tracing racist acts against them extremely impossible.
As a result, researchers frequently turn to more grassroots methods like personal surveys—and while racism may not appear to be a particularly sophisticated characteristic, assessing whether or not someone is racist based on a simple questionnaire can be tough. All of this is to say that identifying the world's most racist countries is a challenging task, and the results might vary from study to study.
The World's Most Racist Countries (Washington Post and Business Tech results combined)
1. India.
2. Lebanon.
3. Bahrain.
4. Libya.
5. Egypt.
6. Philippines.
7. Kuwait.
8. Palestine.
9. South Africa.
According to the conclusions of the survey, India is the most racist of the countries examined. India, located in southern Asia, is the world's second most populous country, with 1.3 billion inhabitants. Residents of the country, according to polls, exhibit a high level of intolerance for persons with darker skin, whether they are of foreign ancestry (particularly Africans) or simply darker-skinned Indians. India has a low immigration rate and a small international population. As a result, the bulk of the people that live there are of Indian descent.
NOTE : In recent years, two separate and independent racism studies tested a total of 85,000 people from 61 nations, yielding results that differed from the BCR2020 but were comparable.
The first was a Washington Post poll done in 2013. The Key and basic question asked of each participant was if they would be comfortable living with someone of a different race. The second was a business experiment conducted in 2016. In a tech poll, respondents were asked if they had ever seen or experienced racism.
Source: Most Racist Countries 2021
Wasubiri tende za misaada na kanzu.Kwa hiyo wale mapadre kina lughambwa, mtega walikuwa wakipoteza muda waoo??
Kumbe ndio hivyo huko walabuni? Hiyo zarau. Na wahindi huku ndiyo waeshimiwa?Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
walikuwa wanawaasi ili wasizaliane ila kwa wazungu waliruhusiwa kuzaliana na hata kuoa wazungu baadae lakini... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?