Safi sana kuwa na mipango mikubwa kama hii. Lakini mimi nina katatizo kadogo sana.... Pale AICC ya sasa nyuma yake ndipo yanajengwa majengo ya EAC...
Ile block tayari ipo congested na magari (insfrastructure) especially along the road to/fro Sanawari especially during rush hour. Kingine pale bwana hawa waheshimiwa hawana parking areas. Wana small areas dedicated to ICTR and wapangaji (very small you have to be a boss to get a dedicated spot) na kibaya zaidi ni wageni wote wanapaki along the road to Sanawari (again)....
Sasa jamani hatujui kuwa mipango mipya sio siting space tu pia tuangalie effect ya upanuzi kwenye day-to-day existence of all people in Arusha expecially miundombinu, services, environmental impact (sewage/garbage), employment nk!!
Bado sikubaliani na huu mpango mpaka wakubwa waseme ni vipi wame address hayo hapo juu.... Ndio maana tunaachwa na wenzetu wa West, wao wanapanga kila kitu in masterplan and kila atakaye develop lazima awe within the "Masterplan" sisi hapa kwetu tuna work/develop within "Respective pockets" na sio mipango ya jamii nzima... Tutafika kweli?? Jiulize hapo manake foleni za Dar (na sasa Arusha) hazitokani na magari mengi, bali ni mambo kama haya etiiii.......
WanaJambo wenzangu niwatakie Wikendi njema na yenye fanaka!!!