8th Sullivan Summit Arusha Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

8th Sullivan Summit Arusha Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Phillemon Mikael, Jul 19, 2007.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Jul 19, 2007
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  Tanzania will in june next year host a WORLD TOURISM AND INVESTMENTS MEETING organised by LEON H SULLIVAN FOUNDATION..the one of its kind expected to bring together 3,000 delegates from all over the world..including 40 presidents around the world..with president bush being among invitees


  tutafaidika vipi wadau???
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hizi habari nzuri- tutaitangaza vema nchi yetu!
  Je can we accomodate 3,000 delegates? Arusha (Simba Grill) inachukua tu 1,000 max , Dar wakati wa SADC tulifanyia Diamond!
  I think it is a good thing to Tz!
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2007
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Ndio maana ninasema bado siwezi kumuhukumu Muuungwana, in general maana kuna vitu kama hivi ambavyo ni plus kwa economy yetu na heshima kwa taifa letu!

  ahsante mzee PM kwa hizi news!
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I am sorry to differ lakini huyu Sullivan atatu cost tuuu maana mkutano wake wa mwisho wa Nigeria hawakufaidika na chochote, halikadhalika ile mikutano iliyopita iliyofanyika Ghana na Senegal nayo hakuna chochote kilichoendelea afterwards

  Dont get me wrong its good to see a black consesus kama hii ikikutana lakini lets be ready kumuona bwana KWAME KILPATRIC akija kuwafundisha mameya wetu namna ya kujirusha(I am sure watu wa Detroit wanalielewa hili) of course bila kumsahau tapeli mwingine bwana Andrew Young akija na mchungaji Stith ambaye alitaka kuujenga Ubalozi wao ofisi za Usalama wa Taifa Dar, mwishowe hata hiyo drive inn tuliyobaki nayo wakaivunja kuwaridhisha huku wakiwaachia raia pale pembeni msasani miserable life na wakati huo huo huo lile shamba walilopewa kibaha mpaka leo limeendelea kuwa pori.

  Nothing new here, TTB wakitaka wabadilishe Marketing strategies na concentrate na watu wenye pesa na siyo hawa vishuka na maneno mengi
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jul 20, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwame Kilpatrick ni meya wa Detroit na si Atlanta! Data zaidi kuhusu matanuzi yake mwambie Mwanakijiji akupe maana nasikia siku aliwahi kualikwa kwenye moja ya minuso yake...
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Jul 20, 2007
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kuwaleta watu wote hao bongo ni jambo jema, even if nothing continues after that. Wadau wa utalii hapa kwetu wachangamkie contacts tu.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Yah, sasa imagine huyu aje kukutana na meya kama SAIDI YAKUBU...balaa tupu.

  Huyo Andy Young nadhani unaelewa alivyowatukana mayahudi wakati alikuwa ndio PR man wa WALLMART sasa hivi naona antapa tapa tuuu..kamlamba miguu Mkapa weeeee sasa lakini kama mnavyomjua Ben huwa hadeal na malosers kama huyu Andy...mkapa jamaa zake ni hao akina Clinton foundation ...of course kulikuwa na ile mijipesa ya Global funda ambayo ishachotwa.

  Huuu mkutano kama utagharamiwa na hao akina Sullivan hewalla, waje watuachie mapesa yao japo siwarank hawa kama watalii dizaini ya akina Rothchilds, Magniers, Steve Jobs au lile tajiri la Oracle ambaye nasikia akidondoka Tanzania basi ilikuwa hata Meghji (akati yuko Maliasili) alikuwa naacha kufanya shughuli zake zote ili kumumpa ma hospitality yote hawa watu.

  Kama nilivyosema awali TTB wanatakiwa wabadilishe marketing strategy na wale watalii vishuka (watembea na chpa za maji) wawaachie waende kenya halafu sisi tudeal hawa wenye Old money ambao wanaka kuspend
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 20, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ebwana Dokta Huu mbona unasound kama una mihasira fulani hivi...? What's wrong man....everything good?
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0


  mie nazipenda tuu hizi fonts...dont worry utazizoea tuu
   
 10. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2007
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jana wakati naangalia hio live programme nilisuuzika sana pale nilipomuona JK akipokea simu yake.Rais wetu kweli mtu wa kawaida....heheheheh
   
 11. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..larry ellison.
  ..hao wakija kwa huo mkutano watarudi kwao na kuhadithia.halafu kuna issue ya media coverage hapo.baadhi yao watarudi pengine hata na familia zao next time.
  ..tunahitaji marketing campaign nzuri tu!


  ..wote wanatufaa,kwani baadhi ya hao wanaobeba chupa ndo huja anzisha the likes of googles za baadae,sasa si watarudi tu.
  ..halafu huwezi jua baadhi yao ndo watoto au uncles wa hao old money ambao nao tunao wanakuja!
  ..deal ni kuongeza standards zetu na kuoboresha mazingira na huduma za miji yetu!
   
 12. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..anaitwa muungwana!

  ..hata mambo yake mengine ni ya kawaida tu!
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Jul 20, 2007
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  wadau cha muhimu ni kujipanga ...kwa mji kama arusha tunataka meya aje atuambie zile barabara zao nyembamba wanaboresha vipi....MIUNDOMBINU kwa ujumla..
  watu wa AICC tunataka watuambie kwa vitendo watawekaje wajumbe 3,000 pale simba hall,kaaya mkurugenzi wao anakuja na strategy ya kutumia mult screens ili wajumbe wengine wakae kwenye vile viukumbi vingine vidogo kama mbawayawa,ngorongoro,ets ambapo wote wataunganishwa na main hall ....du hii ni old fashion haina tofauti na wanaharakati wanapvyohudhuria mikutano ya ie marekani na kuchangia wakiwa hapa dar ..kwanini itumike kwenye kasehemu kadogo hivyo..hatutaeleweka..nashauri wizara ya ndg membe wanaosimamia huo ukumbi watoe kama billion 8 hivi wajenge CONVENTION HALL pale ..inayoweza kuchukua wajumbe hadi 5,000 ..siku hizi conference tourism inakuja juu...kenya wanakarabati kennyatta hall ..kwa mji kama arusha wageni wakija lazima watatumia tu...
  unapoongelea wajumbe 3,000 na wasaidizi wao ,watu wa itifaki ets unaongelea wajumbe 5,000...kama watakaa wiki moja au siku kumi average na kama kila mmoja atatumia dola 500 tu [malazi,chakula,na antiquities ets ] kwa siku unaongelea dola milioni 25,000,000 kama kadirio la pesa itakayoingia kwenye uchumi wetu just for one week....tukiwa na mikutano kama hiyo hata 12 kwa mwaka?
  TAARIFA ZA HARAKA haraka ni kuwa hoteli ya 77 inajengwa na jamaa wa kempiski....lakini sina uhakika kama hadi mwakani jiji la arusha litaweza kuwa na rooms za hadhi 5,000 tayari kwa mkutano huu...pamoja na mahitaji yote ...ndio maana rais anayo kazi kubwa ili tusije kuchekesha.....tukitaka tutaweza.
   
 14. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  PM,
  Napenda this discussion the way you are being practical on the organization ya conference kubwa kama hizi- na mawazo yako mapya. In 2002 nilihudhuria mkutano wa Malaria (MIM) hapo Arusha walikuwepo watu kama 1,500 nakuambia ilikuwa kasheshe kubwa. I think as a country we need to take challenges and think big- wakati wa SADC 2005 walifanyia Diamond- haikuwa nzuri sana!
  Kama unavyosema Arusha wakijipanga vuzuri- tutapata pesa! Ni vema serikali kuja na strategy to cater and accomodate 3000-5000 mapema- kuliko kuja kutokea mbinu za zima moto huko mbeleni.
  I like your idea of CONVENTION HALL- ila sii una jua AICC wana mpango wa kujenga/kupanua Venue? Ni lini- sijui!
  This demands immediate action!
   
 15. e

  epictanzania Member

  #16
  Jul 21, 2007
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Mkutano wa Sullivan kwa Tanzania isiwe swala tu la siasa tutumie nafasi hii kufanya biashara. Serikali itoe nafasi zaidi kwa private sector inufaike na nafasi hii .Bahati hii ni ya mara moja tukishindwa kazi kwetu. Tuache ushabiki tuwe specific ili wadau wengi washiriki kwa kufanya biashara.

  Watanzani tuamuke tuachane na maswala ya sifa tufanye shughuli kwa ajili ya Taifa walio tangulia waonyeshe mfana waachane na ubinafsi na majina makubwa tu wapo Watanzania wenye upeo katika biashara mfano ametuonyesha Obasajo namna alivyo kuja na vijana Mabillionea baada ya kupata msukumo kutoka serikalini.Tumezoea kuona sura zile zile tujaribu kuibua vipaji vipya vya wafanya biashara wakizazi kipya je hao tunaoona kila wakati kwa majigambo nchi inanufaika vipi licha ya kufaidika wenyewe?
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Source link: Ipp Media.

  SteveD.
   
 17. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Arusha wanahitaji A World Class Conference Centre- hiyo ya sasa pamoja na extension bado ni ndogo.

  It is a strategic investmemt for the country.
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Miye naona wajenge ukumbi mwingine wa kimataifa kule Mbeya, angalau mdogo wa kuanzia tu basi...hili ni wazo tu.

  Mzalendo, huo wa AICC kama unavyosema ni muhimu kweli uwe wa mpango wa muda mrefu, inabidi wautengeneze kwania ya kukidhi haja ya mikutano na mazingira ya miaka kama 35 au zaidi ijayo hivi, siyo kwa ajili ya kukidhi mkutano ujao wa mwaka kesho tu..

  Ila tufanye nini, hela za kufanyia hilo asilimia kubwa itatagemea wahisani kutoka nje, hivyo masharti yao tunalazimika kuyafata tu... hela chache zetu kutokana na kodi zinaishia kulipia mafuta ya kuendeshea mashangingi na samani kutoka nje maofisini.

  SteveD.
   
 19. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2007
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Naona wako kwenye mpango wa kujenga Convention Centre. Itachukua zaidi ya 6000 delegates
   
Loading...