siamini kama tunatakiwa kutegemea chochote kutoka kwa hawa watu wa marekani. siamini, na sijaona hata mtu mmoja anaeweza kuwa investor hapa kwa wale waliokuja. nafikiri uwezo wao kifedha ni sawa tu na wakwetu. jana walichanga michango ya kuchangia shule ya msingi, huwezi amini, hata milion 60 hazikufika. wakati mafisadi ya kibongo yakianza kuchangisha wakati wa kampeni za ccm, huwa haipungui milion 300 kwa fundraising moja. sasa hawana cha ziada, pamoja na kwamba wanaweza wakasaidia kidogo kama wanaweza lakini, kututangazia utalii huko wanakoenda. hata hivyo siamini kama wanaweza, siamini kama wanaweza wakagaramikia kututangazia sisi utalii huko kwao, kwa hela gani waliyokuwa nayo? Chris turker mwenyewe walimtangaza kuwa ni tajiri, amechangia dola elfu tano. nimeshuhudia wengi wakichangia hadi dola mia tano, ambazo kama tukiamua wabongo kuanza kuchangisha(kama tulivyochanga wakati wa hawa wakina mama madaktari wanaotibu kansa ya matiti),yaani mewata, tunaweza tukafanya vyema kuliko wao.tusifikiri kuwa kuja kwa watuwa nje ndo mafanikio, pamoja na kwamba ni vizuri kama wanakuja.
hoja yangu moja ni hii, hata hawa watalii wakija sana, kama wakitangaza, siamini kama zile tourist companies za wahindi na wabongo wachache kule Arusha wanalipa kodi ya kutosha kwenye selikali ili tunufaike watz wote. kiufupi, mimi naona huu mkutano hauna manufaa sana. na hawa jamaa wamekuja kutalii zaidi. asante.
Hivi mnaweza kuamini sasa hivi wakitambulisha nchi zilizoshiriki katika mkutano huu katika kikao cha marais Membe ametaja...United Republic of Tanzania na bila kusahau Zanzibar! I though ingekuwa Tanganyika na Zanzibar if that is the case.... Yaani yupo hapo anachemsha ile mbaya! Hawajui hata marais waliopo na alisahau kuwatambulisha!
....shekhe hukuona walikuwa wanatoss?? uliangalia glass ya membe aliweka nini ndani?? labda gongo ndo maana alilewa kiasi akasahau kuwa mdomo kazi yake nyingine ni kuongea....
siamini kama tunatakiwa kutegemea chochote kutoka kwa hawa watu wa marekani. siamini, na sijaona hata mtu mmoja anaeweza kuwa investor hapa kwa wale waliokuja. nafikiri uwezo wao kifedha ni sawa tu na wakwetu. jana walichanga michango ya kuchangia shule ya msingi, huwezi amini, hata milion 60 hazikufika. wakati mafisadi ya kibongo yakianza kuchangisha wakati wa kampeni za ccm, huwa haipungui milion 300 kwa fundraising moja. sasa hawana cha ziada, pamoja na kwamba wanaweza wakasaidia kidogo kama wanaweza lakini, kututangazia utalii huko wanakoenda. hata hivyo siamini kama wanaweza, siamini kama wanaweza wakagaramikia kututangazia sisi utalii huko kwao, kwa hela gani waliyokuwa nayo? Chris turker mwenyewe walimtangaza kuwa ni tajiri, amechangia dola elfu tano. nimeshuhudia wengi wakichangia hadi dola mia tano, ambazo kama tukiamua wabongo kuanza kuchangisha(kama tulivyochanga wakati wa hawa wakina mama madaktari wanaotibu kansa ya matiti),yaani mewata, tunaweza tukafanya vyema kuliko wao.tusifikiri kuwa kuja kwa watuwa nje ndo mafanikio, pamoja na kwamba ni vizuri kama wanakuja.
hoja yangu moja ni hii, hata hawa watalii wakija sana, kama wakitangaza, siamini kama zile tourist companies za wahindi na wabongo wachache kule Arusha wanalipa kodi ya kutosha kwenye selikali ili tunufaike watz wote. kiufupi, mimi naona huu mkutano hauna manufaa sana. na hawa jamaa wamekuja kutalii zaidi. asante.
Ingawa sina hakika kama Waziri Membe anakunywa gongo, lakini jana huyu waziri alipwaya sana. Alifanya utambulisho uliokiuka baadhi ya vipengele vya protokali. Akaanzia delegates, na Zanzibar kaitambulisha kama state. Halafu Rasi Kikwete akaingilia kati kumuomba Membe atambulishe Makamu wa Rais na mawaziri Wakuu waliokuwepo, Membe akaja kubwabwaja tena kutambulisha kama alivyoagizwa. Mara akamalizia kuwatambulisha Marais ambao nadhani angeanzia hao. Makubwa!!! Akiondolewa pale akawekwa Mh Mahiga aliyebobea sijuiatalalamika!!!???
..watu wa hoteli especially mr mrema ..kafaidika sana mkumbuke ana hold full or in trust main hotel zilizolaza wageni naongelea NGURDOTO,IMPALA, NA NAURA SPRINGS...Kama at least alilaza wageni 600..and kila mgeni akitumia at least 500$ per day ....bado zile dhifa alizoandaa ets...the guy must have made minimum 3million $ in minimal kwenye huu mkutano.....anyway its good kwa mtanzania mwenzetu..pesa ingeenda yote nje!.....
we need bigger convention meeting centre ..AICC should think of a hall of at least 10,000pax..baada ya sulllivan nchi nyingi zitapenda kufanyia mikutano arusha!!
Mzee Phillemon.. hii kauli yako ya mwisho msingi wake hasa ni nini?
mwanakijiji motive ya hoja yangu ya ukubwa waukumbi imetokana na fact kuwa ..ukumbi wa simba pamoja na kupanuliwa umekuwa mdogo..wajumbe walikuwa wanazidi 3,000 hopefully ..wakati ule ukumbi uwezo wake hata wajumbe 2000 ni tatizo...that was bad!!
alafu pia mjue siku hizi kwa miji ya kitalii kama arusha catalogue ni CONFERENCE TOURISM ..wageni wanapenda party ,kutembelea vivutio sambamba na mikutano ..pia ni nzuri kwa communities za pale zitafaidika na kuonesha tamaduni zao ie ngoma....fikiria mkipata mikutano angalau sita kwa mwaka ya wajumbe 10,000....yaani wajumbe 60,000 kwa mwaka ...na at least kila mjumbe analipa dola 1,200 za ushiriki na malazi ...thats a big push to economy....LAZIMA WIZARA YA FOREGN WAAMUE HARAKA KUJENGA CONVENTION CENTRE PALE AICC...hata ikibidi ile ambayo wanataka kujenga dar wangeijenga ARUSHA ....kwa kuanzia ...wageni9 wengi huvutiwa na hali ya hewwa na pia hizo opportunity za kutembelea ngorongoro,na seringeti!!!...tukichelewa nairobi watatupiga bao...maana nao wana hali inayofanana na arusha ,..na wantangaza kuwa mgeni akifika kenyatta kufanya mkutano pia napata fursa ya kutembelea seringeti na ngorongoro..ambazo zipo karibu!@
Hao wanaopomgezwa inasemekana hawalipi kodi. Nani anatafuna hiyo pesa? Haya makampuni yaseme kama hayalipi yatozwe faini ili iwe fundisho.
very keen observation...
a. Kwanini hizo kumbi ziwe mradi wa kufanywa na Serikali (MOFA) badala ya kuacha sekta binafsi? Unafikiri sekta binafsi inaweza kufaidika kwa kuwa na ukumbi wa kisasa wa namna unayoielezea?
b. Vipi kuhusu transportation within the city ni rahisi sana kutoka point A kwenda B bila misuko suko na kushikana mikono ili kuvuka barabara?
c. Kwanini mkutano haukuandaliwa na BET?