Siku zima likemeka Home hakuna kazi yeyote anayo ifanya ata usafi Zero kazi tu kuagizia chips na kuangalia tamthilia same time wapo kwenye social media kama insta .badoo na tinder kuwachuna mabuzi A.K.A mabwege .. haya endeleyeni na iyo kazi ila yanamwisho mbaya