80% ya Wadada wa kibongo wanategemea mabuzi

😂😂😂😂😂...

Hizi thread Za dizain hii inabidi muwe mmekunywa chai na ramani ya siku ushaichora!!

Tizameni mapovu sasa.

All the way.... Hakuna free lunch. Fanyeni kazi
 
umeandika kwa hasira
Siku zima likemeka Home hakuna kazi yeyote anayo ifanya ata usafi Zero kazi tu kuagizia chips na kuangalia tamthilia same time wapo kwenye social media kama insta .badoo na tinder kuwachuna mabuzi A.K.A mabwege .. haya endeleyeni na iyo kazi ila yanamwisho mbaya
 
Back
Top Bottom