Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Kifupi hakuna mwanamke hapo yote ni mapunga na picha ni ya dukani
Mkuu sijakupata hapo kwenye rangi nyekundu. Hakuna msiba mbona?Una maana wanafiwa nyuma?
Mkuu naogopa ban, nimeiweka R kwa mbali kidogo..! Neno Kufiwa + R = banMkuu sijakupata hapo kwenye rangi nyekundu. Hakuna msiba mbona?
Mkuu Kifarutz umetisha kaka.Mkuu naogopa ban, nimeiweka R kwa mbali kidogo..! Neno Kufiwa + R = ban
Ni mambo ya tasifida, yaani kupunguza ukali wa maneo..! Siyo mtu anakuwa kama SerukambaMkuu Kifarutz umetisha kaka.
Mkuu kuna mtaa mmoja ilala nilimkuta jamaa anamwambia mwenzake "Acha Userukamba kwenye mambo ya maana", ilibidi nifurahi kimoyo kimoyo.Ni mambo ya tasifida, yaani kupunguza ukali wa maneo..! Siyo mtu anakuwa kama Serukamba
Ha ha haa haaa..! Userukamba ni mambo ya kishamba..! Ngoja tulitohoe hili nenoMkuu kuna mtaa mmoja ilala nilimkuta jamaa anamwambia mwenzake "Acha Userukamba kwenye mambo ya maana", ilibidi nifurahi kimoyo kimoyo.
Spika: Hoja imepitishwaaaa.Ha ha haa haaa..! Userukamba ni mambo ya kishamba..! Ngoja tulitohoe hili neno